Hiyo hospital ilikuwa kwa mnyamani hospito?
Na uelewa wa huyo nurse/daktari ulikuwaje?Na wakati unafika kuchoma ulikuwa wagonjwa wangapi per 1 nurse?
Unajua Polisi walisemaje tulipofika`pale kufungua jalada! "Aroo mbona binti mwenyewe ni mkubwa tu, sio kwamba alitaka mwenyewe, asitupotezee muda kufungua kesi wakati alitaka mwenyewe" ilibidi niwatishe kuwa nitaenda kumuona IGP kama watashindwa ku-handle hiyo kesi, wakaogopa.....................
Mawazo potofu hayo.Mbona mtu anapoibiwa mali zake polisi hasemi..."urijitakia mwenyewe aisee kujionyesha una mali"!Very unprofessional way to handle situations.Huwezi kuleta hoja ya kujitakia iwe ni kuiba "mwili" wa mtu au mali yake.
Tena kwa tahadhari ya wanaotegemea kujifungulia TZ, ujuaji muuache nyumbani kabla ya kufika hospito. Wana trick zao za kuongeza maumivu like a million time, si private au gov. Labda ukate kitu kidogo basi wahudumia kama yai.
lakini ujuaj??? Maralia hata ukiwa mjuaji haina shida ndo mana nasema ujuaji unategemea na mazingira na uelewa wa mtu unaye-deal naye.
Unajua Polisi walisemaje tulipofika`pale kufungua jalada! "Aroo mbona binti mwenyewe ni mkubwa tu, sio kwamba alitaka mwenyewe, asitupotezee muda kufungua kesi wakati alitaka mwenyewe" ilibidi niwatishe kuwa nitaenda kumuona IGP kama watashindwa ku-handle hiyo kesi, wakaogopa.....................
Watu wenye elimu ya upili na chini wanadhani maprofesa wamedata? Hii sijawahi isikia mimi!
Hii inanikumbusha kuna kipindi hapo nyuma kuna mtu alipost picha ya mdada aliyekuwa kavaa shimizi na hivyo kupelekea kuzingwa na watu huko Iringa. Kuna watu walisema eti yote yaliyompata alistahili!
Mgonjwa ana haki ya kuelezwa kila linaloendelea. Ana haki pia ya kusema kile ambacho anahisi yeye kitampunguzia maumivu na kipi hakitampunguzia.
Kama madaktari na wahudumu wengine wanakwenda kinyume na ethics za kazi zao, hilo ni suala ambalo linatakiwa kukemewa na kukatazwa kwa nguvu zote. Sio kuwaambia watu wasiulize masuali au kusema vile wanavyodhani hospitali.
Lazima watu waelezwe na wazielewe huduma bora zinavyotakiwa kuwa, ili waweze ku-aspire kuzipata huduma hizo
Kuna siku nilienda hospitali kisa nimefanya kijipu mguuni karibu na ankle. Nilikaa kwa daktari zaidi ya nusu saa tunafahamishana ilikuwaje nifanye kijipu. Of course it was in 'Manchester', but knowing me I would have still done the same if it was in Dar :]
atangaze tu kwani nitakufa kuliko nikae naye anipe AIDs si bora nipate aibu ila najua ctakufa mwe!
tena aibu yenyewe itavuma tu wiki 2 au 3 kwisha litaibuka lengine huko mitandaoni na kufunika langu ila akinipa ukimwi nakufa kabisa loh!
umeona sasa?
polisi wa bongo bila kumjua mkuu wa kituo hupati haki zako..
by the way muwe mnasaidia kupaka rangi vituo vya polisi aisee
wahindi huwa wanafanya hivyo..
anatoa msaada wa rangi kituo cha polisi na kuchukua contacts za mkuu wa kituo
sasa ole wako uingie anga zake,utashangaa...
mimi polisi wa jirani huwa nawalipia mama ntilie siku moja moja lol
atakae ingia anga zangu shauri yake lol
Kwa kawaida inatakiwa daktari umchunguze mgonjwa system zote na ukae nae si chini ya dakika 45,hata kama unaumwa jipu tu au rashes za kawaida,ila ndio hivyo shortcuts na uhaba wa ma daktari unachangia
Kuna siku nilienda hospitali kisa nimefanya kijipu mguuni karibu na ankle. Nilikaa kwa daktari zaidi ya nusu saa tunafahamishana ilikuwaje nifanye kijipu. Of course it was in 'Manchester', but knowing me I would have still done the same if it was in Dar :]
Hahahaha!!! Boss kuna trick zingine banaa huwa zinalipa kuna siku nilienda kituo cha polisi eti hawana karatasi nikanunua rim mbili za A4 nikawaachia nikachukua namba ya simu za jamaa siku nawapigia simu salama ya kwanza nasikia "Ndio mheshimiwa wangu tukasaidie" anayesema hivyo ananizidi zaidi ya miaka 20 kufika kituoni nikapewa treatment ambayo laiti kama kila mwananchi angekuwa anapata hiyo treatment basi tungekuwa mbali sanaumeona sasa?
polisi wa bongo bila kumjua mkuu wa kituo hupati haki zako..
by the way muwe mnasaidia kupaka rangi vituo vya polisi aisee
wahindi huwa wanafanya hivyo..
anatoa msaada wa rangi kituo cha polisi na kuchukua contacts za mkuu wa kituo
sasa ole wako uingie anga zake,utashangaa...
mimi polisi wa jirani huwa nawalipia mama ntilie siku moja moja lol
atakae ingia anga zangu shauri yake lol
Kwa kawaida inatakiwa daktari umchunguze mgonjwa system zote na ukae nae si chini ya dakika 45,hata kama unaumwa jipu tu au rashes za kawaida,ila ndio hivyo shortcuts na uhaba wa ma daktari unachangia
Umeona eeh?? Mi kwakweli siwezi kufanywa mtumwa kwa hilo, tena asahau kabisa hata kama ukimwi usingekuwepo! Itanicost kwa muda tu then baadae naendelea na life kama kawa!!!