Wanawake tu, ndio wajibu swali hili

Wanawake tu, ndio wajibu swali hili

Bold ya pili...Kwa Tanzania kwa wastani, daktari mmoja anahudumia watu zaidi ya 50,000 ..linganisha na USA dokta mmoja kwa watu 300, uholanzi 1:320 wakati Cuba ina the best ratio ya 1:172 ( hizi ni takwimu za 2008 kufuatana na Global mapping of Doctor to patient ratio.! Hizo dakika 45 sijui labda kama ni nyumbani kwake au kwenye clinic yake private.

Thats why nimesema tatizo ni uhaba wa madaktari hapa kwetu.but hizo dkk 45 ndio standard time ya ku clark mgonjwa na kuchukua history yote .
Gvt nayo haiweki mazingira mazuri kwa watu kuvutiwa kusoma udokta na madokta wengi pia wanabadili fani kwenda kwenye fani zinazolipa
 
Ha ha ha, kwani ulitibiwa bure, ni kampuni yako ililipia, twende kesho nikusindikize tukawaote roho.

Kweli tupu! Kuna siku nilishtuka ankle nikaenda agha khan,itwas wknd. Wakaanza mbwembwe zao manake ni emergency, xray hakuna kitu. Wakanipa dawa ya kuchua, na diclopar na vidonge vingine. Nafika home nikaanza kusoma vikaratasi na mtandao pembeni. Vile vidonge vingine kumbe ni antiacid bana! Nikaachana navyo. Japo ningekua nimelipia cash ningetoa mtu roho!
 
Labda walikupa dozi kubwa ya diclopar ingeweza kukuletea gastric irritation ,thats why wakakupa na ant acid
 
Huyo mm hawahi kusambaza picha wala kunilala tn, dawa yake ni kumpoteza tu. Hapo ndo ntaishi kwa amani. Soma kitabu cha Mwiba, story yake typical na what u hv asked!
 
unakubali kuwa mtumwa, in a month (silence killing) sikwambii namuuaje?. Hivi kweli kunakitu kinachomshinda mwanamke katika ulimwengu huu? Utanifanyaje mimi mtumwa wako.

kama umeolewa huyo mumeo anatakiwa awe makini sana akikuzingua unaweza kuamka usiku wa manane ukamchinja kama kuku
 
sijui kwa nini lakini kichwani kwangu ime-register kama at one point in life nikiwa std 1 nilipewa klorokwini kidonge kimoja kila siku. i get shivers just thinking abt that! hadi leo vidonge vya njano vinanipa shida including dawa mseto
Mi nilikuwa natupa hizo klorokwini. Nilikuwa nikimaliza dozi ya sindano ndo imetoka hiyo. I hated them pills with a passion.
 
sijui kwa nini lakini kichwani kwangu ime-register kama at one point in life nikiwa std 1 nilipewa klorokwini kidonge kimoja kila siku. i get shivers just thinking abt that! hadi leo vidonge vya njano vinanipa shida including dawa mseto

Dawa mseto?? Mamaaaa.........sinywi hizo dawa, sijui kitokee nini tu aiseee!!
 
Wala sina shida namkubalia then tukiwa chumbani namuacha kama wiki hv,naichukua simu yake kwa siri naitumbukiza kwenye ndoo ya maji halafu namuamsha au naiponda kwa jiwe hadi iwe unga,halafu kumfundisha adabu asirudie kwa mwingine namchanja matakoni na kiwembe,
 
napata tabu kuchangia kwasababu mtambuzi anataka wanawake tu ndio wachangie
 
Hebu tuchukulie kwamba, kuna mwanaume amekutongoza kwa muda mrefu sana, na baada ya kujiridhisha kwamba yuko serious ukaamua kuwa na uhusiano naye ukiwa na matarajio makubwa juu yake.
Lakini, kumbe siku mlipokutana kimwili alikupiga picha kadhaa bila wewe kujua mkifanya mapenzi, na picha nyingine ukionekana kitandani kama ulivyozaliwa. Baadae unagundua kuwa jamaa huyo ni kicheche, yaani hajatulia. Unapomwambia waziwazi kuwa hupo tayari kuendeea kuwa na uhusiano naye kutokana na tabia yake hiyo, anakuonesha hizo picha na kukutishia kwamba atazisambaza mitaani na kwenye mitandao ya kijamiii ili kukudhalilisha. Anachotaka ni kukufanya mtumwa wake, ufanye vile anavyotaka na usithubutu kutaka kuachana naye.

Hebu niambie, kama ni wewe ungefanyaje?
ntadeal naye parallel and perpendicular yaani atakamerunima na ntamweka kwenye u-tube
 
sijui kwa nini lakini kichwani kwangu ime-register kama at one point in life nikiwa std 1 nilipewa klorokwini kidonge kimoja kila siku. i get shivers just thinking abt that! hadi leo vidonge vya njano vinanipa shida including dawa mseto

mie milikuwa sivipendi kwa jinsi vilivyokuwa vinawasha mwilini, mweeeee! Kuna wakati ilibidi wawe wananisimamia kunywa as if mgonjwa wa tb, otherwise vyote vilikuwa vinaishia kwa sinki la maji.

King'asti nakuaminia jinsi unavyojaribu ku divert the attention, uko juu madam. Ktk hili wateja tumepatikana wa kutosha.
 
Wala sina shida namkubalia then tukiwa chumbani namuacha kama wiki hv,naichukua simu yake kwa siri naitumbukiza kwenye ndoo ya maji halafu namuamsha au naiponda kwa jiwe hadi iwe unga,halafu kumfundisha adabu asirudie kwa mwingine namchanja matakoni na kiwembe,

Kama picha kazihifadhi kwenye flash disc si itakuwa imekula kwako?
 
Huyo mm hawahi kusambaza picha wala kunilala tn, dawa yake ni kumpoteza tu. Hapo ndo ntaishi kwa amani. Soma kitabu cha Mwiba, story yake typical na what u hv asked!

Jina lako halifanani na ulichosema hapa!
 
ndyoko my bro, nime-report abuse. hapa unanionea tu! with my conscious mind nilichangia mada na my naughty freaking head ikanifanya nidandie huu mchakachuo kwenye bonnet. so get a ride (on this bonnet)wakati unamsubiria paw na russianroulette wakaushughulikie kwa uonevu huu mkubwa
mie milikuwa sivipendi kwa jinsi vilivyokuwa vinawasha mwilini, mweeeee! Kuna wakati ilibidi wawe wananisimamia kunywa as if mgonjwa wa tb, otherwise vyote vilikuwa vinaishia kwa sinki la maji.

King'asti nakuaminia jinsi unavyojaribu ku divert the attention, uko juu madam. Ktk hili wateja tumepatikana wa kutosha.
 
u cant blv, i had recurrent malaria karibu kila mwezi. nilikwepa hizi dawa becoz of the yellow color (yes, im that silly). bt nilipoona sina alternative zaidi ya drip za quinine which is the last line of treatment, nikajitosa msetoni. nina 2 yrs sasa bila malaria!
Dawa mseto?? Mamaaaa.........sinywi hizo dawa, sijui kitokee nini tu aiseee!!
 
diclopar za 5 days haziwezi kuleta gastric irritation kama huna history hiyo. wizi tu, na antiacid zenyewe wanauza 20,000/= ndo zao, kuna siku nilienda na eye irritation dr wa macho ananiambia nifanye full blood picture na hiv test! nikamuuliza how is it related to my problem? manake nina haraka and i do annual medical exam. mhindi anauma ulimi tu. nikamuambia nitibu niende zangu!
Labda walikupa dozi kubwa ya diclopar ingeweza kukuletea gastric irritation ,thats why wakakupa na ant acid
 
Back
Top Bottom