UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Bold ya pili...Kwa Tanzania kwa wastani, daktari mmoja anahudumia watu zaidi ya 50,000 ..linganisha na USA dokta mmoja kwa watu 300, uholanzi 1:320 wakati Cuba ina the best ratio ya 1:172 ( hizi ni takwimu za 2008 kufuatana na Global mapping of Doctor to patient ratio.! Hizo dakika 45 sijui labda kama ni nyumbani kwake au kwenye clinic yake private.
Kweli tupu! Kuna siku nilishtuka ankle nikaenda agha khan,itwas wknd. Wakaanza mbwembwe zao manake ni emergency, xray hakuna kitu. Wakanipa dawa ya kuchua, na diclopar na vidonge vingine. Nafika home nikaanza kusoma vikaratasi na mtandao pembeni. Vile vidonge vingine kumbe ni antiacid bana! Nikaachana navyo. Japo ningekua nimelipia cash ningetoa mtu roho!

unakubali kuwa mtumwa, in a month (silence killing) sikwambii namuuaje?. Hivi kweli kunakitu kinachomshinda mwanamke katika ulimwengu huu? Utanifanyaje mimi mtumwa wako.
Mi nilikuwa natupa hizo klorokwini. Nilikuwa nikimaliza dozi ya sindano ndo imetoka hiyo. I hated them pills with a passion.
sijui kwa nini lakini kichwani kwangu ime-register kama at one point in life nikiwa std 1 nilipewa klorokwini kidonge kimoja kila siku. i get shivers just thinking abt that! hadi leo vidonge vya njano vinanipa shida including dawa mseto
ntadeal naye parallel and perpendicular yaani atakamerunima na ntamweka kwenye u-tubeHebu tuchukulie kwamba, kuna mwanaume amekutongoza kwa muda mrefu sana, na baada ya kujiridhisha kwamba yuko serious ukaamua kuwa na uhusiano naye ukiwa na matarajio makubwa juu yake.
Lakini, kumbe siku mlipokutana kimwili alikupiga picha kadhaa bila wewe kujua mkifanya mapenzi, na picha nyingine ukionekana kitandani kama ulivyozaliwa. Baadae unagundua kuwa jamaa huyo ni kicheche, yaani hajatulia. Unapomwambia waziwazi kuwa hupo tayari kuendeea kuwa na uhusiano naye kutokana na tabia yake hiyo, anakuonesha hizo picha na kukutishia kwamba atazisambaza mitaani na kwenye mitandao ya kijamiii ili kukudhalilisha. Anachotaka ni kukufanya mtumwa wake, ufanye vile anavyotaka na usithubutu kutaka kuachana naye.
Hebu niambie, kama ni wewe ungefanyaje?
sijui kwa nini lakini kichwani kwangu ime-register kama at one point in life nikiwa std 1 nilipewa klorokwini kidonge kimoja kila siku. i get shivers just thinking abt that! hadi leo vidonge vya njano vinanipa shida including dawa mseto
Wala sina shida namkubalia then tukiwa chumbani namuacha kama wiki hv,naichukua simu yake kwa siri naitumbukiza kwenye ndoo ya maji halafu namuamsha au naiponda kwa jiwe hadi iwe unga,halafu kumfundisha adabu asirudie kwa mwingine namchanja matakoni na kiwembe,
Huyo mm hawahi kusambaza picha wala kunilala tn, dawa yake ni kumpoteza tu. Hapo ndo ntaishi kwa amani. Soma kitabu cha Mwiba, story yake typical na what u hv asked!
mie milikuwa sivipendi kwa jinsi vilivyokuwa vinawasha mwilini, mweeeee! Kuna wakati ilibidi wawe wananisimamia kunywa as if mgonjwa wa tb, otherwise vyote vilikuwa vinaishia kwa sinki la maji.
King'asti nakuaminia jinsi unavyojaribu ku divert the attention, uko juu madam. Ktk hili wateja tumepatikana wa kutosha.
napata tabu kuchangia kwasababu mtambuzi anataka wanawake tu ndio wachangie
Hebu jifanye mwanamke kwa leo tu..........................
Dawa mseto?? Mamaaaa.........sinywi hizo dawa, sijui kitokee nini tu aiseee!!
Labda walikupa dozi kubwa ya diclopar ingeweza kukuletea gastric irritation ,thats why wakakupa na ant acid