Wanawake tuache kushika simu za waume zetu

Wanawake tuache kushika simu za waume zetu

Marumeso

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2009
Posts
1,410
Reaction score
1,325
Ndio maana inaitwa simu ya mkononi kile ni kifaa cha matumizi yake binafsi sio matumizi ya familia.

Na unapekua simu ya mmeo ili ugundue nini? Ili iweje? Wanawake wengine bana!

Umbea tu na wivu ndio vinawasumbua.
 
Quite right...
Simu ya mwanaume ni ya mwanaume tu huna haja ya kuikagua. Ila simu yako mwanamke wanaume anafaa kuishika na kuikagua muda wowote akijisikia..Coz Mwanaume hana mipaka kwa mke wake.
Ke watanipopoa coz It's bit harshy but noway you have to swallow it 🚶🚶
View attachment 2294479
It's a huge violation of trust and breach of privacy. Phones are just personal.
If I respect your privacy ,I expect the same in return.
 
Kwakweli sipendi surprise.... Ntaishika tuu
Mmoja mwenye akili wewe. The phones, si tu kwamba zinapaswa kushikwa na both parties interchangeably, lakini pia mnaweza ku-reshuffle. Leo hubby akampa honey ake Samsung G. s22 Ultra, yeye akaichukua iphone 13 Pro Max yake.

Mivurunguti kama hii ndiyo maana Tanzania ina one of the lowest happiness indices.

NB: LILA (ndoa bora) & FILA (uongo) HAVITANGAMANI!

 
Ndio maana inaitwa simu ya mkononi kile ni kifaa cha matumizi yake binafsi sio matumizi ya familia.

Na unapekua simu ya mmeo ili ugundue nini? Ili iweje? Wanawake wengine bana!

Umbea tu na wivu ndio vinawasumbua.
Wewe usipekue ya mmeo, usiwalazimishe wenzao kutopekua, kila mtu aishi anavyotaka bwana. Tuffuate miiko kutoka vitabu vya dini halaf tuje kufat miiko ya nyie binadamu? Kila mtu apambane na hali yake
 
Shida watu tukisema privacy watu wanawaza mambo ya mahusiano pekee.

Simu yangu ni yangu kama ambavyo siwezi kukagua au kuhangaika na simu ya mwenza wangu sio Kwa sababu nataka kujua mambo yake, ila kumheshimu faragha yake.

Nani kawadanganya usafi wa simu ndio usafi wa mtu? Unaweza kubaki na simu yangu siku nzima na usiambulie chochote wakati huohuo nakupigia matukio.

Simu Kuna vitu naongea au kuwasiliana na ndugu zangu, marafiki zangu, Kuna utani mle Sasa nnavyohusiana na wote hao Kila mmoja Kuna namna yake. Wewe usiyeelewa ukiishika unaweza kuwahishwa Mirembe au Mochwari.

Siwezi kagua simu ya mwenza wangu, akinionyesha jambo ntaangalia hiyo sehem na kurudisha. Hiyo ni simu yake Ina mambo yake. Ilimradi mie nnapata stahiki yangu ya upendo kutoka kwake inatosha.
 
Ndio maana inaitwa simu ya mkononi kile ni kifaa cha matumizi yake binafsi sio matumizi ya familia.

Na unapekua simu ya mmeo ili ugundue nini? Ili iweje? Wanawake wengine bana!

Umbea tu na wivu ndio vinawasumbua.
Binafsi nimeshaandaa eneo, na nitajitolea kulipa mafundi. Hima hima jamani wajitokeze watu watoe mchanga na sementi sanamu la huyu dada linyanyuke kabla ya ijumaa..!
 
Back
Top Bottom