Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chake ni chako na chako ni chako mwenyewe.Kama ni mwili mmoja maana yake chake ni chako na chako ni chake
Kushika simu sio mbaya
Ubaya huwa unakuja unapokutana na yasiyotakiwa kuonekana na ukashindwa ku-mantain peace kwenye ndoa
mimi yaliyonikuta sina hamu. ila kuacha ndiyo siachi kwakweli.Ndio maana inaitwa simu ya mkononi kile ni kifaa cha matumizi yake binafsi sio matumizi ya familia.
Na unapekua simu ya mmeo ili ugundue nini? Ili iweje? Wanawake wengine bana!
Umbea tu na wivu ndio vinawasumbua.