vanus
JF-Expert Member
- May 27, 2017
- 1,151
- 2,896
Ww ndo utakua mkombozi wa huyo mwanaume endapo atabambikiziwa kesi ya kubaka, kama ulivyokuja kwa ujasiri hapa na mahakamani ukapinge hiyo kesi kwa kutoa ushahidi uliokuwa nao kwamba amesingiziwa hakubaka na mkakati mzima wa kumtengenezea kesi ulikuwa unaujua.
Ikitokea mzee wa watu ameenda jela alafu ww una ushahidi 100% kwamba hajafanya hilo tukio, basi hii dhambi itakutafuna sana na utakosa amani na furaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikitokea mzee wa watu ameenda jela alafu ww una ushahidi 100% kwamba hajafanya hilo tukio, basi hii dhambi itakutafuna sana na utakosa amani na furaha.
Sent using Jamii Forums mobile app