Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Wanawake mnatupasua sana kichwa mara matumizi mara kasheshe na vituko kibao lakini kubwa zaidi mmetubambikizia watoto wasio wetu, wengine ndio kwanza mpo kwenye huo mpango wa kuwabambikizia wenzi wenu.
Mimi nipo kwenye tatizo la mke wangu kuwa na matumizi makubwa nikajua labda mimi ndiye nina matatizo makubwa kuliko wenzangu, mara mwenzangu ananambia mke wake kambambikizia mtoto kasomesha mpaka chuo kikuu baada ya mtoto kupata kazi ndio mke anasema ukweli.
Kwanini mna roho katili kiasi hiki wala chembe ya huruma hamna hasa sisi waume wenu tunavyohangaika kufanya kazi usiku na mchana.
Nini sababu inayowafanya kuwa fedhuli wakubwa kiasi hiki?