Wanawake tufanyeje ili mtuelewe tunania njema?

HaMachiach

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
3,417
Reaction score
6,149
Sijui kwanini wanawake wagumu sana kuelewa. Mke wangu aliondoka nyumbani na kumwacha mtoto wetu wa kiume wa miezi 6 akilia mnooo. Dada Wa kazi akambembeleza weeee hakunyamaza. Akamwimbia hakunyamaza. Akaamua kutoa nyonyo zake na kumpa mtoto. Mwanangu akanyamaza pale pale. Akiwa anamnyonyesha Mimi nikaingia. Nikamuwakia dada. " unataka kumuambukiza mtoto magonjwa? [emoji35]. "Hapana baba hayatoi maziwa Mimi nimempa tu anyamaze!!" . " kweli hayatoi?".

Nikaamua kuthibitisha. Nikamtoa mtoto na nikawa nanyonya Mimi. " ahaa kweli hayatoi. Hebu hilo kingine! Nalo halitoi?. Mara wife kaingia.nikamwambia kuwa nafanya uchunguzi Wa nililolikuta. Hakuamini. Hebu niambieni. Wapi nimekosea? Kufuatilia afya ya mtoto ni kosa? Wanawake acheni hizo! [emoji23][emoji23]
 
Utoto bwana!!
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
muulize aliyekwambia umekosea kuwa umekosea kwangu Mimi ata huu Uzi ulivyoandika umekosea
 
Wanawake acheni hizoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aaaaaaa utavunja mapafu ww next time[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii inanitoa strees mpka nishamwacha rafiki angu mtt wa mama nan anaitwa GAMBE
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Balaa
 


Wewe hauna kosa tena inabidi upewe shahada ya ushujaa wa kumlinda mwanao. Afya ya mtoto ni bora zaidi, hukupiga vidole kule kunako nanihiii kuona kama nako kunastahili kuonjwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…