HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,417
- 6,149
Sijui kwanini wanawake wagumu sana kuelewa. Mke wangu aliondoka nyumbani na kumwacha mtoto wetu wa kiume wa miezi 6 akilia mnooo. Dada Wa kazi akambembeleza weeee hakunyamaza. Akamwimbia hakunyamaza. Akaamua kutoa nyonyo zake na kumpa mtoto. Mwanangu akanyamaza pale pale. Akiwa anamnyonyesha Mimi nikaingia. Nikamuwakia dada. " unataka kumuambukiza mtoto magonjwa? [emoji35]. "Hapana baba hayatoi maziwa Mimi nimempa tu anyamaze!!" . " kweli hayatoi?".
Nikaamua kuthibitisha. Nikamtoa mtoto na nikawa nanyonya Mimi. " ahaa kweli hayatoi. Hebu hilo kingine! Nalo halitoi?. Mara wife kaingia.nikamwambia kuwa nafanya uchunguzi Wa nililolikuta. Hakuamini. Hebu niambieni. Wapi nimekosea? Kufuatilia afya ya mtoto ni kosa? Wanawake acheni hizo! [emoji23][emoji23]