Wanawake tulio mbali na wenza wetu tujadili changamoto tunazopata na jinsi ya kuzitatua

Wanawake tulio mbali na wenza wetu tujadili changamoto tunazopata na jinsi ya kuzitatua

Ya nini kufa na utamu unaona hivi!!

Sukari ni tamu sana ukiitumia sana unaugua mpaka kifo!!

Ukiikosa unapata ugonjwa wa Hypoglycaemi hapa unashauriwa utumie sukari.

Mkuyenge nao hivohivo ukiukosa unapata ugonjwa wa Hysteria kabisaa serious!!! Wasichaba wa girls sec.school wanaujua.

Ukiutumia saaana unakuwa loose girl. Kukosa mvuto.thamani nk yaani unakuwa nyapenyape.km jilevi sugu la gongo.
ūū
 
Kwa mtu ambae umeshazoea kupata lile joto la mwanamke wakati mmekumbatiana uchi, unapapasa mapaja laini huku ukiminyaminya chuchu na kutomasa makalio, mtoto anatoa miguno huku akijinyonganyonga, macho kayalegeza, huku chini ukishusha mkono unakuta kitu iko tepetepe....

Hakuna jinsi sex chat itakufanya uridhike..!!! Never.

Hata kama utajichua na utapiga bao lakini hamu ya kufanya mapenzi itakua iko pale pale tena ndio inazidi. Sijui labda kwa wanawake wao wanaweza, ila kwa wanaume ni uongo ni kupandishana nyege tu na akitoka hapo lazima akatafute mzigo.
 
Unafikiri kunywa hayo madonge ni kitu kifurahishacho?

Mimba ya wiki unapima lini? Wakati ki uhalisia mpaka kuwe na missing period ndio unaanza wasiwasi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona unamiss period, jua mimba ina wiki mbili mpaka tatu hiyo...
Hapo ndiyo utajua kuchepuka ni ufala..[emoji16][emoji16]
 
Ya nini kufa na utamu unaona hivi!!

Sukari ni tamu sana ukiitumia sana unaugua mpaka kifo!!

Ukiikosa unapata ugonjwa wa Hypoglycaemi hapa unashauriwa utumie sukari.

Mkuyenge nao hivohivo ukiukosa unapata ugonjwa wa Hysteria kabisaa serious!!! Wasichaba wa girls sec.school wanaujua.

Ukiutumia saaana unakuwa loose girl. Kukosa mvuto.thamani nk yaani unakuwa nyapenyape.km jilevi sugu la gongo.
ūū
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom