Political stability
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 906
- 1,401
" Mdebwedo" umekuwa msamiati mpya kbsa kwanguHizo nyeto siku mkukutana na mumeo k itakuwa mdebwedo ka ya bibi kizee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi wao wameolewa Tena au wanapiga punyeto!
Unatumia tango?Habari zenu wanawake wenzangu wa MMU.
Karibuni tujadili changamoto zinazotupata kipindi ambacho wapenzi wetu wawapo mbali, kikazi au kwa shughuli yoyote ile inayowafanya msionane kwa mda mrefu.
Mimi binafsi MUME wangu sipo naye karibu, ninaweza kukaa week 3 mpaka miezi 3 bila kuonana. Linapokuja suala la sex kwetu huwa ni changamoto sana. Na ukizingatia tukiwa pamoja ni tunapeana malovedave ya kutosha tu popote pale.
Inabidi uwe mvumilivu sana aisee! la sivyo utaishia kuchepuka kila kukicha na kuzaa watoto wa njee ya ndoa tu baadae ije ilete usumbufu tu.
Mimi namwenzangu huwa tunafanya sex chart, na kwa upande mwingine masturbation inahusika asee! na ni tamuuuu asikwambie mtu.
Hembu tupige story mbili tatu na wewe huwa unafanyaje kumaliza hali zako.
IdiotHabari zenu wanawake wenzangu wa MMU.