Wanawake tulio mbali na wenza wetu tujadili changamoto tunazopata na jinsi ya kuzitatua

Nimeandika nikafuta, nikaandika tena nikafuta ila kwa ufupi inaonesha wewe ni mwanamke mwnye msimamo sana, mpole, mwnye busara na upendo sana kwa mumeo nikupongeze sana kwa hilo.[emoji8]


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mwanamke ukimsifu hivo umemaliza, akikuona ashakupenda, na ushamla tayari.. tongoza za Aina hii wanawake wakae mbali nazo
 
Mwanamke ukimsifu hivo umemaliza, akikuona ashakupenda, na ushamla tayari.. tongoza za Aina hii wanawake wakae mbali nazo

[emoji16] labda wengine ila sio huyo mkuu, huyo hategeki kwa mbwembwe hizi alafu mimi nimeyasema hayo sio kwa sababu nalenga nipate kitu fulani, nmemsifia tu maana chat zake zimenigusa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Masturbation mnafanya mkiwa pamoja au mkiwa mbali mbali? Nini kimesababisha msiishi pamoja? Ajira? Kama ni ajira kwanini mmoja asijaribu kutafuta kazi kule aliko mwenzie kutokana na wapi mnakupenda?!
Ajira dear.kila mtu ameajiriwa Mbali na mwenzio
 
Za kwangu mimi nzuri kwa msaada wa nyungu!

Mi nimetokea kukupenda ila nashindwa kukuambia sijui hata nikuambieje!.. moyo wangu umedata kwako nimetafuta kila njia lkn wapi sijui siku nikikuambia nakupenda itakuwaje..!
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji23]Hahahaha na kwa naniliu(sema sijakariri username yake)moyo wako umedata pia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
story yako inafanan na yangu kabisaa
Nlikuw na mschana yeye yuko mwanza mm mkoa mwingin , kweny sex chat Yani kako vizuri hatari
 
Mleta mada hebu njoo pm kwangu tuzungumze huenda ukawa unaishi mkoa nao ishi mimi ili niwe nakuja kukufariji mara moja moja
 
Una umri gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama tusingekuwa na nyege .
Tungekuwa tunawapenda wanaume nyinyi.
Mimi zikinipanda namwambia baba njoo nina nyege.
Si wa kwangu bana

Huu muandiko wa kiume kabsa, kuna maboya washaingia kingi 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…