Wanawake tulio mbali na wenza wetu tujadili changamoto tunazopata na jinsi ya kuzitatua

Wanawake tulio mbali na wenza wetu tujadili changamoto tunazopata na jinsi ya kuzitatua

As long as ni long distance Ni mda tu mmoja wenu ata chepuka kipindi hiki mambo ni mengi mda ni mchache na tambua mwanamke ukichepuka na mchepuko anajua ni mke halali wa mtu usipokua makini hadi marinda yanatolewa
 
Raha ya mapenzi ya mbali for a week na zaidi kila mtu awe mwaminifu asichepuke na hapo ndio hamu ya tendo inakuwa kubwa maradufu, tendo linafana kisawa sawa alafu mwanaume ujiongeze umletee mkeo vizawadi zawadi vya huko utokako ndio atafika mpaka kilele cha everest [emoji16][emoji16]


Sent from my iPhone using JamiiForums
Umelenga penyewe.
Na mwanaume mwenyewe awe mashaalah kwenye 6x6 mbona mnajikuta dunia ni yenu asee
 
Kwanza kabla hatuja fika mbali miaka yako tafadhari..?
Mi nataka nichepuke nawe ila kwa Siri Sana na jumbe tutakuwa tunatumiana ila kwa co tongoAde Kuna lugha ya tofauti nimeianda so ntakuwa nakutumia then utaelewa tu code zake na utazizoea!
Unasemaje murembo..😉
Hii tongoza ya huyu konki, maanina! Yaani ya ki code code na ajabu mamaa ashaanza kulegea
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom