Wanawake tuna huruma sana

Wanawake tuna huruma sana

annagrace

Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
63
Reaction score
110
Katika pitapita zangu huko mitandaoni nimekutana na picha safi yenye mvuto wa kipekee ya bwana yule tuliyeaminishwa "He is such a gentleman " Nami nahitimisha truly he is gentleman.

FB_IMG_16390208440924571.jpg
 
Kw hiyo...kwa sababu ya huo 'ugoko' ndio unaona hastaili kuwa na mwanamke?
 
Katika pitapita zangu huko mitandaoni nimekutana na picha safi yenye mvuto wa kipekee ya bwana yule tuliyeaminishwa "He is such a gentleman " Nami nahitimisha truly he is gentleman.
View attachment 2037808
Pesaa Diamond alisema wakati kafulia walikuwa wanasema ana domo now hao hao wanasema ana lips denda 🤣🤣🤣😳
 
Back
Top Bottom