Wanawake tunapitia mengi jamani

Mpe tu pole, halafu endelea na mambo mengine tuu, alikua anatoa ya moyoni tumsikilize tusimcheke
Kama yamoyoni ndo hayo basi ajue tu mbinguni atapasikia tu..πŸ˜‚
 
Leo vibamia classic tumesifiwa!!! Walahi mpk changu kimesisimka!..
Endelea hivihivi achaneni na mimali ya umma itawaumiza..πŸ˜œπŸ˜‚
 
Leo wenye vibamia tutachinja hata kambuzi!! Si kwa kusifiwa huku leo nitalala usingizi wa pono..😜
 
.[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Jamani, hamtaki hata tuwe na kale kakitambi kakufutia simu..?[emoji1787]
 
.[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Jamani, hamtaki hata tuwe na kale kakitambi kakufutia simu..?[emoji1787]
Haha, hebu weka picha tuone kinavyofanania hiko cha kufutia simu then nikwambie kama kinafaa ama uanze kuudhuria East Africa road na kilima cha Esami kila ikifika jioni
 
Tena mkachukue na mkafanyie kazi haswaa [emoji28][emoji28]
..sema huyu mleta mada watu wengi wamemkosoa, ila ME kuna mambo inatakiwa tufanyie mabesho...[emoji1787][emoji1787]
 
Haha, hebu weka picha tuone kinavyofanania hiko cha kufutia simu then nikwambie kama kinafaa ama uanze kuudhuria East Africa road na kilima cha Esami kila ikifika jioni
Hahahaa...niruhusu nikutumie kule pm uone cha kufutia simu kilivyo..[emoji3][emoji3]
 
Unayo kazi kwa kweli,naionea huruma hiyo K...

mpk ifike kwa mwenye atamilikishwa,sijui itakuaje...
 
Ukienda kwao, unaambiwa mahari ni million mbili na nusu. Wazazi wangejua haya anayoyapitia binti yao, sidhani kama wangehitaji hata senti tano!
[emoji23][emoji23][emoji23] uko sahihi kabisa mkuu [emoji123][emoji123][emoji123]
 
Ukienda kwao, unaambiwa mahari ni million mbili na nusu. Wazazi wangejua haya anayoyapitia binti yao, sidhani kama wangehitaji hata senti tano!
Acha tu ndugu yangu!! mimi niliambiwa milioni saba #yaani saba milioni..!!! ila wachaga wa Moshi- huru kule kwa diwani daaah waliniweza..!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…