Wanawake tunapitia mengi jamani

Wanawake tunapitia mengi jamani

Mpe tu pole, halafu endelea na mambo mengine tuu, alikua anatoa ya moyoni tumsikilize tusimcheke
Kama yamoyoni ndo hayo basi ajue tu mbinguni atapasikia tu..😂
 
Kupitia maswahibu yote hayo ni we mwenyewe kujitakia tu.

1. Kitambi hakijifichi, sasa mwenye tambi lake akikutaka na ukakubali hapo kajilaumu mwenyewe unless iwe ndoani maybe mlianza akiwa hana kitambi then mambo yakamnyookea haswaa akajikuta kitambi anacho. Vile venye na'hate kitambi kisichoeleweka mbona mazoezi nitakuwa nakusindikiza mwenyewe.

2. Muhogo wa jang'ombe dk zero anamwaga wachaga mtibie na mazoezi wenyewe wanaita "kegel" naona onaga humu wakifundishana.

3. Wakutwanga kinu mbona wanafundishika hao? Kama kubwa inakuzidia si unamwambia tu afanye slowly na asizamishe lote, mambo ya kuumizana baadaye uanze kutafuna feni ikupepee nani anakubaliana nayo 🙂

4. Hao wachafu koge by appearance tu uwa wanaonekana ni wewe sasa kabla ya yote kukubali/kukataa. Kama ni mchafu ukimpenda mbadilishe asiposikia achana nae maana inataka moyo sana kuishi/kumingle na mtu mchafu.

5. Kibamia is always the best..
Leo vibamia classic tumesifiwa!!! Walahi mpk changu kimesisimka!..
Endelea hivihivi achaneni na mimali ya umma itawaumiza..😜😂
 
Wanaume ndio hawa hawa, wewe unaonekana unaonja sana sasa kuna ladha unategemea ukutane nayo.

Nakushauri acha kufanya comparison tafuta mmoja kama no mchafu mfundishe usafi.
Kama anatwanga, kaa juu iendeshe wewe.
Mbona kibamia ni kizuri sana ukikijulia?
Wewe tulia na mmoja.
Leo wenye vibamia tutachinja hata kambuzi!! Si kwa kusifiwa huku leo nitalala usingizi wa pono..😜
 
Kupitia maswahibu yote hayo ni we mwenyewe kujitakia tu.

1. Kitambi hakijifichi, sasa mwenye tambi lake akikutaka na ukakubali hapo kajilaumu mwenyewe unless iwe ndoani maybe mlianza akiwa hana kitambi then mambo yakamnyookea haswaa akajikuta kitambi anacho. Vile venye na'hate kitambi kisichoeleweka mbona mazoezi nitakuwa nakusindikiza mwenyewe.

2. Muhogo wa jang'ombe dk zero anamwaga wachaga mtibie na mazoezi wenyewe wanaita "kegel" naona onaga humu wakifundishana.

3. Wakutwanga kinu mbona wanafundishika hao? Kama kubwa inakuzidia si unamwambia tu afanye slowly na asizamishe lote, mambo ya kuumizana baadaye uanze kutafuna feni ikupepee nani anakubaliana nayo [emoji846]

4. Hao wachafu koge by appearance tu uwa wanaonekana ni wewe sasa kabla ya yote kukubali/kukataa. Kama ni mchafu ukimpenda mbadilishe asiposikia achana nae maana inataka moyo sana kuishi/kumingle na mtu mchafu.

5. Kibamia is always the best..
.[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Jamani, hamtaki hata tuwe na kale kakitambi kakufutia simu..?[emoji1787]
 
.[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Jamani, hamtaki hata tuwe na kale kakitambi kakufutia simu..?[emoji1787]
Haha, hebu weka picha tuone kinavyofanania hiko cha kufutia simu then nikwambie kama kinafaa ama uanze kuudhuria East Africa road na kilima cha Esami kila ikifika jioni
 
Haha, hebu weka picha tuone kinavyofanania hiko cha kufutia simu then nikwambie kama kinafaa ama uanze kuudhuria East Africa road na kilima cha Esami kila ikifika jioni
Hahahaa...niruhusu nikutumie kule pm uone cha kufutia simu kilivyo..[emoji3][emoji3]
 
Unayo kazi kwa kweli,naionea huruma hiyo K...

mpk ifike kwa mwenye atamilikishwa,sijui itakuaje...
 
Ukienda kwao, unaambiwa mahari ni million mbili na nusu. Wazazi wangejua haya anayoyapitia binti yao, sidhani kama wangehitaji hata senti tano!
[emoji23][emoji23][emoji23] uko sahihi kabisa mkuu [emoji123][emoji123][emoji123]
 
Ukienda kwao, unaambiwa mahari ni million mbili na nusu. Wazazi wangejua haya anayoyapitia binti yao, sidhani kama wangehitaji hata senti tano!
Acha tu ndugu yangu!! mimi niliambiwa milioni saba #yaani saba milioni..!!! ila wachaga wa Moshi- huru kule kwa diwani daaah waliniweza..!!!
 
Back
Top Bottom