Wanawake tunapitia mengi jamani

Namba 5 imenikosha sanaπŸ§šβ€β™€οΈπŸ§šβ€β™€οΈπŸ§šβ€β™€οΈ
 
Kutokana na ulivochambua naona una ma x wanne mpaka sasa
 
......................................Siku mleta mada akiingia menopause na apatane na boya mmoja hivi mtaani kwao kuanzisha familia pamoja,guess what!!!

Usiku wa kwanza......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukienda kwao, unaambiwa mahari ni million mbili na nusu. Wazazi wangejua haya anayoyapitia binti yao, sidhani kama wangehitaji hata senti tano!

Chief huu ujumbe ni mzito [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Acha tu ndugu yangu!! mimi niliambiwa milioni saba #yaani saba milioni..!!! ila wachaga wa Moshi- huru kule kwa diwani daaah waliniweza..!!!

Mwanaume kamili unatoa, kama alivyosema remi ongala kipenda roho [emoji3]
 

Mkuu nitakutafuta unipe shule kwenye standard maintenance hapo [emoji1545]
 
Nakuona nakuona, team users wa vi' okra 😜
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈ
 
Pole kwa yote uliyokutana nayo, endelea tu kuchakatwa ipo siku utakutana na unayemtaka.
 
Aiseee
Kumbe mi nina kibamia baby
 
Aiseee
Kumbe mi nina kibamia baby
Teh teh! Si unajua vile uwa kinani'drive crayz? We mpishi hodari eti, ila naogopa kufunguka sana bwana manyaku wasije kukuvamia huko PM πŸ˜…πŸ˜…
 
Huwezi kupata kila kitu, coz hata wewe huna kila kitu.

Shida tu ni hapo kwenye mahari, wazee watataja mahari hadi tushangae, sema kama wewe muislam itakuwa afadhali coz ukisema 50k itakuwa "value for money"
 
Mwanaume kamili unatoa, kama alivyosema remi ongala kipenda roho [emoji3]
Hahahha!!
Hapana aisee!!! wachaga wamezidi binti anakimbilia 30 wanataka saba milioni, what if angekuwa below 25yrs si wangetaka twenty kabisa kukomoa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…