KakaKiiza JF-Expert Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,794 Reaction score 9,075 Mar 3, 2012 #1 Soma hii tungo je kuna ukweli juu yake?Eti mwanamke nikama JIMBO MWENYE SERA NZURI NDIYE ANAYECHAGULIWA??Je hilo nikweli je imekaaje??
Soma hii tungo je kuna ukweli juu yake?Eti mwanamke nikama JIMBO MWENYE SERA NZURI NDIYE ANAYECHAGULIWA??Je hilo nikweli je imekaaje??
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,075 Mar 3, 2012 #2 Mmmmmhhhhh!!!!!
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,282 Reaction score 117,244 Mar 3, 2012 #3 mostly true na sometimes uchaguzi unakuwa sio huru wala haki....lol
nitonye JF-Expert Member Joined Dec 18, 2011 Posts 7,342 Reaction score 3,885 Mar 3, 2012 #4 Siku hizi hamna hiyo kitu mkwanja wako tu unatosha
afrodenzi Platinum Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18,150 Reaction score 9,255 Mar 3, 2012 #5 Wenye sera Nzuri watachaguliwa na kwenye sera Nzuri au watachaguana .. Ila wengi hupenda kujichanganya ..
Wenye sera Nzuri watachaguliwa na kwenye sera Nzuri au watachaguana .. Ila wengi hupenda kujichanganya ..
Kabakabana JF-Expert Member Joined Aug 5, 2011 Posts 5,550 Reaction score 1,165 Mar 3, 2012 #6 Kweli siku hizi kila kitu siasa tu
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,785 Mar 3, 2012 #7 Lisemwalo lipo ! Kama halipo ....
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,855 Reaction score 24,925 Mar 3, 2012 #8 Sasa jimbo MWANAMKE linabadili utawala kila baada ya miaka mingapi? I mean uchaguzi unarudiwa kupisha wenye nguvu?
Sasa jimbo MWANAMKE linabadili utawala kila baada ya miaka mingapi? I mean uchaguzi unarudiwa kupisha wenye nguvu?
TANMO JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 11,763 Reaction score 11,873 Mar 3, 2012 #9 Mugglin said: Sasa jimbo MWANAMKE linabadili utawala kila baada ya miaka mingapi? I mean uchaguzi unarudiwa kupisha wenye nguvu? Click to expand... sometimes, or most of the time coup d'etat applies..!
Mugglin said: Sasa jimbo MWANAMKE linabadili utawala kila baada ya miaka mingapi? I mean uchaguzi unarudiwa kupisha wenye nguvu? Click to expand... sometimes, or most of the time coup d'etat applies..!
S Senator p JF-Expert Member Joined Oct 27, 2011 Posts 282 Reaction score 43 Mar 3, 2012 #10 nitonye said: Siku hizi hamna hiyo kitu mkwanja wako tu unatosha Click to expand... sindio sasa km jimbo mwenye pesa na sera anachukua,au unaweza ukawa na pesa una sera ukachua,mfano Rostam.
nitonye said: Siku hizi hamna hiyo kitu mkwanja wako tu unatosha Click to expand... sindio sasa km jimbo mwenye pesa na sera anachukua,au unaweza ukawa na pesa una sera ukachua,mfano Rostam.
KakaKiiza JF-Expert Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,794 Reaction score 9,075 Mar 3, 2012 Thread starter #11 Senator p said: sindio sasa km jimbo mwenye pesa na sera anachukua,au unaweza ukawa na pesa una sera ukachua,mfano Rostam. Click to expand... Siasa ni uchumi kwa maana hiyo vinarandana!!Haijalishi sera ikiisha inamaana pesa imeisha jimbo watu wanalitolea macho!!
Senator p said: sindio sasa km jimbo mwenye pesa na sera anachukua,au unaweza ukawa na pesa una sera ukachua,mfano Rostam. Click to expand... Siasa ni uchumi kwa maana hiyo vinarandana!!Haijalishi sera ikiisha inamaana pesa imeisha jimbo watu wanalitolea macho!!
S SI unit JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 1,953 Reaction score 767 Mar 3, 2012 #12 Hayo majimbo rushwa nje nje, hamna TAKUKURU wala HOSEA..
Mtambuzi Platinum Member Joined Oct 29, 2008 Posts 8,809 Reaction score 15,421 Mar 3, 2012 #13 Nimejifunza jambon hapo.....................
Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,891 Mar 3, 2012 #14 Ukweli upo hapo!
Amyner JF-Expert Member Joined Jul 13, 2011 Posts 2,396 Reaction score 882 Mar 3, 2012 #15 The Boss said: mostly true na sometimes uchaguzi unakuwa sio huru wala haki....lol Click to expand... kura zinaibiwa au?
The Boss said: mostly true na sometimes uchaguzi unakuwa sio huru wala haki....lol Click to expand... kura zinaibiwa au?