Wanawake tungo hii vipi??

Wanawake tungo hii vipi??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Soma hii tungo je kuna ukweli juu yake?Eti mwanamke nikama JIMBO MWENYE SERA NZURI NDIYE ANAYECHAGULIWA??Je hilo nikweli je imekaaje??
 
mostly true
na sometimes uchaguzi unakuwa sio huru wala haki....lol
 
Siku hizi hamna hiyo kitu mkwanja wako tu unatosha
 
Wenye sera Nzuri watachaguliwa na kwenye sera Nzuri au watachaguana ..

Ila wengi hupenda kujichanganya ..
 
Sasa jimbo MWANAMKE linabadili utawala kila baada ya miaka mingapi? I mean uchaguzi unarudiwa kupisha wenye nguvu?
 
Sasa jimbo MWANAMKE linabadili utawala kila baada ya miaka mingapi? I mean uchaguzi unarudiwa kupisha wenye nguvu?

sometimes, or most of the time coup d'etat applies..!
 
sindio sasa km jimbo mwenye pesa na sera anachukua,au unaweza ukawa na pesa una sera ukachua,mfano Rostam.
Siasa ni uchumi kwa maana hiyo vinarandana!!Haijalishi sera ikiisha inamaana pesa imeisha jimbo watu wanalitolea macho!!
 
Hayo majimbo rushwa nje nje, hamna TAKUKURU wala HOSEA..
 
Back
Top Bottom