Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,531
- Thread starter
-
- #21
[emoji15] [emoji15] [emoji15]watasaidia kubeba Inna.
hahahakilimo, waje tulimane eeh
Ndomana nikawaomba wenzetu wa upade wa pili watupe ushirikiano na kama shida ni usafiri wa kutoka basi tutagharamia ,Kipindi cha mvua ndio ushirikiano huwaga ni mdogo sana sababu ya mvua hakuna anaetoka wala anaeenda
Pacha mbona unajitoawamekusikia
mm kwangu baby wangu hana shida na mmPacha mbona unajitoa
Au sio..anytime anywheremm kwangu baby wangu hana shida na mm
[emoji15] [emoji15] [emoji15] hivi wewe ni dume?wamekusikia
Hujui nyie ndo ubavu wetu mmy acha hizo bhanaaapambaneni na hali zenu tu, mpaka mvua ziishe.
Pia utasikia wanawake walikuwa wanatema sana maeneo ya Saudia wakati wa style ya kuchuma mchicha kwa sababu kipindi hiki cha mvua hawaogi vizuri!![emoji53][emoji53][emoji53]Jamani tusikubali,mvua ikikatika utasikia 'Wanawake wanapenda sana pesa','wanawake wananuka nyapu','Wanawake wajinga sana','Wanawake wana naniliu kubwa sana'.
Daaah kama huku chugga ni noma sana aisee...
NB: Picture for Entertainment Purposes Only
Balaa kweli yaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni balaaa