Wanawake ,Tupeni Ushirikiano katika kipindi hiki cha mvua,

Wanawake ,Tupeni Ushirikiano katika kipindi hiki cha mvua,

Hapa ndipo haua nshindwa kuelewa binadamu anataka nini.....
Nakumbuka mvua ilikoma na hata mazao yaka kauka.... Watanzania tulimlaumu Pombe.
Leo mvua inanuesha mujarab pasipo nywila..... Naona tumeanza kuwalaumu wapendwa wetu.

Ebu ifike wakati tuache kua tunalalamika jamani....
Hii inasababisha sononeko na haya kupeleka kumkufuru mwenyezi Mungu.... Na hapo ndipo laana huanzia
 
Kipindi cha mvua ndio ushirikiano huwaga ni mdogo sana sababu ya mvua hakuna anaetoka wala anaeenda
 
Kipindi cha mvua ndio ushirikiano huwaga ni mdogo sana sababu ya mvua hakuna anaetoka wala anaeenda
Ndomana nikawaomba wenzetu wa upade wa pili watupe ushirikiano na kama shida ni usafiri wa kutoka basi tutagharamia ,
 
hata wanawake nao wapo kwenye hali tete na mvua hizi...
ukiona umemuita mageto alafu ajatokea ujue kuna mjanja anajisevia!
 
Daaah kama huku chugga ni noma sana aisee...

NB: Picture for Entertainment Purposes Only
 

Attachments

  • IMG_20170404_205131.png
    IMG_20170404_205131.png
    198.5 KB · Views: 35
Jamani tusikubali,mvua ikikatika utasikia 'Wanawake wanapenda sana pesa','wanawake wananuka nyapu','Wanawake wajinga sana','Wanawake wana naniliu kubwa sana'.
Pia utasikia wanawake walikuwa wanatema sana maeneo ya Saudia wakati wa style ya kuchuma mchicha kwa sababu kipindi hiki cha mvua hawaogi vizuri!![emoji53][emoji53][emoji53]
 
Wanaringa siku hizi.ukimpigia simu utasikia baby sijisikii vizuri.
 
Back
Top Bottom