Wanawake ,Tupeni Ushirikiano katika kipindi hiki cha mvua,

Mvua zimenyesha huku mikoani watu tunahustle ila dar siku mbili tu mmeanza kelele
 
Pole sana...

It least i have mahondaw wangu anytime i want.. We do anything we want... Iwe joto,baridi, mvua au jua...
 
ha ha ha..ikifika February mwakani pia wanaume tuwe tayari kupokea mavuno ya tulichipanda kipindi hiki..siyo unamkimbia tena
 
Tupo na wazee huku jamani,tunonekana kucheka bila sababu za msingi
 
na kwenye daladala mkiona tumejikunyata basi mjisogeze walau kuwe na mbananano wengine ni madomo zege kama mleta mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…