Kwa hiyo makosa ni mwanaume kutomshirikisha kikamilifu mke wake wakati wa uhai wakeWakati wa uhai, mara nyingi ushirikishwaji wa wanawake ni mdogo sana, kwa maana hiyo, mwanamke haelewi uendeshaji wa miradi ya mumewe inavyoenda.
Anaweza akapata picha kwa mbaali na taarifa fupi za miradi, kama hajui kwa undani mambo yanavyoendeshwa inakua shida sana kuindeleza hiyo miradi kwa ufanisi.
Kwa hiyo makosa ni mwanaume kutomshirikisha kikamilifu mke wake wakati wa uhai wake