cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,448
- 7,972
Kwa nini mwanamke akifiwa mume na akaachiwa biashara au miradi mikubwa kwa nini miradi hufa mapema na kama mwanamke amejitahidi sana kusimamia hata miaka 5 haifiki
Na yawezekana mwanamke alikuwa anashirikishwa kikamilifu kwenye miradi kwa nini inafeli..
Sio wote lakini walio wengi biashara au miradi inakufa mapema na wengi nimewashuhudia walifiwa wakaachiwa mali lakini muda mchache kila kitu kinakuwa kimeisha
Tusaidiane tatizo ni nini na ila kwa wanaume ni tofauti,wenyewe wakifiwa mali zao au biashara zao huendelea kama kawaida ila kwa wanawake walio wengi huanza kufilisika,tunakosea wapi?