Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,712
- 1,910
Kiukweli kabisa mchezo huo ni mbaya sana japo umekuwa ukipuuzwa sana na wanawake wasiotarajia kuzaa, huona kama halali yao kwani wanajua balaa kubwa ni kwenye kuzaa. Licha ya athari hiyo ndogo lakini uzoefu unaonyesha kuwa mwanamke akizoea mchezo basi mbele anaona kama hakufai, hii ni athari ya kisaikolojia tayari.
Pili kwa wanaume ni hatari kulingana na udogo wa eneo lenyewe na kukosa ute wa kulainisha hivyo hupelekea kondom kupasuka haraka kuliko mbele, hivyo kuongeza hatari ya maambukizi na afya kwa ujumla kwani kukojolea sehemu ile kupelekea chembe chembe ndogo za kinyesi kuweza kupenya na baadae kuweza kuziba mrija wa dhakari. Hii inaweza kuipinga kwa kuwa wewe unaweza ukafanya mara moja lakini ukizoea hatari hii inakusubiri.
Tatu ni dhambi ambayo inamuudhi Muumba wetu kupindukia, hebu tujiulize kwa nini Mungu aliweka pua, jicho na mdomo kukaa karibu? Mungu hufanya mambo yake kikamilifu na ni imani yangu hakuna hata siku moja mtu alishawahi kulaumu kwa nini Mungu hakumuwekea jicho lake kisogoni badala ya lilipo sasa. Mungu ametuumbia uke jamani ukifanya kwa kufuata sheria ni mtamu kuliko hata hiyo kitu uchafu.
Nawasihi sana wanawake wasimkosee Muumba wao kwa vijizadi vidogo vidogo.
Mwisho Itamfaa nini mtu akiupata ulimwengu kisha kiwiliwili chake kikatupwa katika moto wa Jahanam?
Hapo Mkuu Mzee wa Rula umenena kweli. Watu waache ujinga Bwn.Unafikiri kwa nini Bwn Mungu akateketeza Sodoma na Gomola????? Ilikuwa ni sababu ya kusodomise. Kwa hiyo bado Mungu yule yule atatoa adhabu nyingine kama HIV kwa watu wanao endekeza mchezo huo mchafu. Zawadi za muda mfupi zitakukost maisha ya umilele, mrudie Mungu wako kwa toba, yeye ni mwenye huruma atakusamehe, uishi maisha yenye faida na kumcha Mungu. Mbarikiwe!!!!!!!!