Wanawake tuupinge huu mchezo!!

Wanawake tuupinge huu mchezo!!

Kiukweli kabisa mchezo huo ni mbaya sana japo umekuwa ukipuuzwa sana na wanawake wasiotarajia kuzaa, huona kama halali yao kwani wanajua balaa kubwa ni kwenye kuzaa. Licha ya athari hiyo ndogo lakini uzoefu unaonyesha kuwa mwanamke akizoea mchezo basi mbele anaona kama hakufai, hii ni athari ya kisaikolojia tayari.
Pili kwa wanaume ni hatari kulingana na udogo wa eneo lenyewe na kukosa ute wa kulainisha hivyo hupelekea kondom kupasuka haraka kuliko mbele, hivyo kuongeza hatari ya maambukizi na afya kwa ujumla kwani kukojolea sehemu ile kupelekea chembe chembe ndogo za kinyesi kuweza kupenya na baadae kuweza kuziba mrija wa dhakari. Hii inaweza kuipinga kwa kuwa wewe unaweza ukafanya mara moja lakini ukizoea hatari hii inakusubiri.
Tatu ni dhambi ambayo inamuudhi Muumba wetu kupindukia, hebu tujiulize kwa nini Mungu aliweka pua, jicho na mdomo kukaa karibu? Mungu hufanya mambo yake kikamilifu na ni imani yangu hakuna hata siku moja mtu alishawahi kulaumu kwa nini Mungu hakumuwekea jicho lake kisogoni badala ya lilipo sasa. Mungu ametuumbia uke jamani ukifanya kwa kufuata sheria ni mtamu kuliko hata hiyo kitu uchafu.
Nawasihi sana wanawake wasimkosee Muumba wao kwa vijizadi vidogo vidogo.
Mwisho Itamfaa nini mtu akiupata ulimwengu kisha kiwiliwili chake kikatupwa katika moto wa Jahanam?

Hapo Mkuu Mzee wa Rula umenena kweli. Watu waache ujinga Bwn.Unafikiri kwa nini Bwn Mungu akateketeza Sodoma na Gomola????? Ilikuwa ni sababu ya kusodomise. Kwa hiyo bado Mungu yule yule atatoa adhabu nyingine kama HIV kwa watu wanao endekeza mchezo huo mchafu. Zawadi za muda mfupi zitakukost maisha ya umilele, mrudie Mungu wako kwa toba, yeye ni mwenye huruma atakusamehe, uishi maisha yenye faida na kumcha Mungu. Mbarikiwe!!!!!!!!
 
Gari ni kitu kidogo sana, kuna siku
nilivamiwa na majambazi usiku wa manane, wakaniambia nichague kimoja ama waniue au wanifanye huo mchezo, mimi kwa ujasiri mkubwa sana nilichagua kuuliwa
kwa hiyo ulikufa ? au ulifufuka tena?
 
Umewahi kujaribu kushawishiwa kuingiliwa kinyume na maumbile kwa ahadi ya kupewa gari na ukakataa?Maana wanawake wenzio unaowaambia wanaota kupata hayo magari kwa gharama yoyote.

khaaa!
 
Siku hizi naona huu mchezo
Wa kuingiliwa kwa wanawake wa ki tz kinyume na maumbile unaota mizizi kwa kasi ya ajabu.Jamani huu mchezo una madhara makubwa sana, na kubwa zaidi ni kudhalilishwa utu wako.Wito kwa wanawake tuache tamaa na tusikubali hata kupewa gari ili tukubali kufanyiwa huu mchezo.
lolz kumbe weye shori?
 
mtu akishikwa na pepo la huo mchezo ni wa kumuombea tu ....
too addictive....
 
Gari ni kitu kidogo sana, kuna siku
nilivamiwa na majambazi usiku wa manane, wakaniambia nichague kimoja ama waniue au wanifanye huo mchezo, mimi kwa ujasiri mkubwa sana nilichagua kuuliwa
Boflo kwanza hongera kwa ujasiri. Kwa vile ulitakiwa uchague moja ama wakuue au wakufanyie huo mchezo na wewe aliamua bora wakuue!.

Hebu endeleza kidogo na hiki kisa, maana japo ulichagua bora wakuue ikawaje hawakukuua!?.
 
mie mwenzenu ningejaribu(nitajuaje kama napenda au la kama sijui ladha yake?)...ila kuna picha niliona inayoonyesha kucollapse kwa matumbo ya ndani na hivyo kutoka kwa nje,imenifanya nifikirie mara mbili kuhusu hilo swala.......:twitch::twitch::twitch::twitch:
 
Gari ni kitu kidogo sana, kuna siku
nilivamiwa na majambazi usiku wa manane, wakaniambia nichague kimoja ama waniue au wanifanye huo mchezo, mimi kwa ujasiri mkubwa sana nilichagua kuuliwa

Mkuu,
mbona uko hai?
kwa nini waliamua kutokukuua?

Pia hapa, inaleta suali jengine, yaani majambazi wana-rape wakipata mateka mwanamke au wewe ni wa jinsia ipi?
Vizuri upo hai na unawatahadharisha kinamama kuwa huo mchezo ni faulo!!(foul)
 
Hivi tunawasiliana na wewe ukiwa ahera au duniani? Maana unasema hukuchakachuliwa na kama ndivyo manake uliuawa. Ni kweli mkuu?
 
Jamani hapo ni kuporomoka kwa maadili, kwa mtazamo wangu mi naona tusiwalaumu wanawake coz pande zote zinahusika kwani hata wanaume pia huwashawishi wanawake kufanya hivyo, Cha kufanya tumwombe sana Mungu abadilishe mioyo ya watu wawe na hofu ya Mungu then mengine yatafaninikiwa. Tafuteni kwanza ufalme wa Mungu na hayo yote mtazidishiwa.
 
Duh! Umdhaniaye ndiye kumbe siye! Loh! Ila mada yako nimeipenda
 
Gari ni kitu kidogo sana, kuna siku
nilivamiwa na majambazi usiku wa manane, wakaniambia nichague kimoja ama waniue au wanifanye huo mchezo, mimi kwa ujasiri mkubwa sana nilichagua kuuliwa

Vp walikuua?
 
Back
Top Bottom