Wanawake tuwekane sawa kuhusu 'kukojozwa'

Old trafford dakika 90 ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Suala la mwanamke kutokojoa sijawahi kuelewa ni kwanini tatizo lionekane ni la mwanaume. Climax ya sex ni kumwaga. Mwanaume kamwaga, mwanamke hajamwaga, sasa hilo ni tatizo la nani?

Wanawake ndio wa kupewa elimu kuhusu maumbile yao na kuuziwa dawa za kuongeza nguvu za kike, kwa sababu wao ndio wenye tatizo
 
Ukimfikisha kileleni heshima inaongezeka(anaongeza heshima)...lakini ili afike kileleni Yeye mwenyewe ana play part kubwa awe na hisia na WEWE,awe na concentration asiwe na stress,awe tayari atoe ushirikiano.
Kutokufika kwake kileleni Yeye mwenyewe pia kwa sehemu anahusika,

Japo na sisi tunatakiwa kuwa andaa mpaka walainike ..hasa Hawa age goo..bila kumuandaa ni tofauti na enzi alipokuwa KIJANA ilikuwa hata ukimshika KIUNO TU analowa..ila kadiri umri unavyoenda na stress za maisha..inahitaji MAANDALIZI kwanza kabla ya kumrukia.

ila yote kwa yote all in all
OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA
 
Yani mtu unaingia mtandaoni na kuandika huu upuuzi๐Ÿšฎ
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜†๐Ÿ˜๐Ÿ˜„๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ