Wanawake, ukitaka kujijua wewe ni mchafu, jiangalie hizi tabia unazo

Wanawake, ukitaka kujijua wewe ni mchafu, jiangalie hizi tabia unazo

Ni kweli tu. Ila ninachochukia zaidi hapo ni soap dish na ndoo ya chooni kugina. Asee nikija kwako hata Kama nimebanwa na mkojo vipi. Ninaweza kuomba nisafishe ndoo kwanza. Ndio niende wash room.
Umeongea ya kweli tu.

Na kuondoka kwangu sijatandika kitanda.
Yesu. Sijui niwe ngojwa nawahiswa hospital ndo nishindwe
 
[emoji23][emoji23][emoji23] aki hatuchekani
Ni changamoto, huwa nashusha zote, navaa navua . huku nachungulia saa muda unakimbia.
Nikipata inayoni fit zilizobaki nazibeba kama furushi la mtumba nizifungia kabatini.
Naenda kwenye dressing table naji spray, kama vile nakimbizwa nairusha hapo inadondosha na vitu vingine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Amegusa angle chache ila ukweli kashasema
Umechukulia mambo kijumla jumla sana kwahapa umelizungumzia tabaka dogo sana la wanawake wanaoishi maisha fulani ya kumiliki jiko,choo,dressing table nk. vipi kuhusu wengineo wanaoshi nje ya maisha hayo? Thread yako haina uhalisia kwa maisha ya kawaida ya watanzania waliowengi.
 
Ni kweli ila nadhani kila mtu anajipima kwa kile kinachomhusu, kama huna dressing table una kabati, huna kabati walau una kitanda na sufuria
 
Vyote ni UCHAFU ila mkuu no 12 kununua still waya ni lazima amna mahali zinagawa bure chief.
 
Ni kweli tu. Ila ninachochukia zaidi hapo ni soap dish na ndoo ya chooni kugina. Asee nikija kwako hata Kama nimebanwa na mkojo vipi. Ninaweza kuomba nisafishe ndoo kwanza. Ndio niende wash room.
Umeongea ya kweli tu.

Na kuondoka kwangu sijatandika kitanda.
Yesu. Sijui niwe ngojwa nawahiswa hospital ndo nishindwe
kweli kbsa nilisahau hilo,ndoo za bafuni kugina plus vile vikombe vya kujimwagia navyo hali si hali
 
Hapo kabatini usiombe tight au bra ipotee na ndo wataka kuvaa utoke teh
hvi hadi kwenye kuvaa za ndani huwa mnachagua na kupanga kesho ntavaa hivi???? Asee kazi mnayo
 
Back
Top Bottom