Wanawake, ukitaka kujijua wewe ni mchafu, jiangalie hizi tabia unazo

Eeh tena ukute ndiyo ile ambayo inaendana na nguo unayoivaa. Lazima zishushwe zote chini.
sasa hizo vitu za ndani zina ku match kumbe?? asalaaaleeee SHKAMOONII WANAWAKE mi ndo mana nasema wanawake wote ni wachapakazi..
 
sasa hizo vitu za ndani zina ku match kumbe?? asalaaaleeee SHKAMOONII WANAWAKE mi ndo mana nasema wanawake wote ni wachapakazi..
Kwa mfano bra kuna baadh huwez valia kila blauzi,zingine hazikai vizuri ndo mana kunakua na aina flan inaenda na gaun au blauz flani au tyt labda unakuta ina rangi rangi na nataka kuvaa labda surual nyeupe lazma itaonesha hvyo nitavalia tyt nyeus
 
Ila mleta Uzi mgonvi sana

Namba 14 inanihusu
 
Nimejaribu kubadilika ila wapi, naweza nikatumia masaa 2 kupanga nguo kabatini ila nikavuruga zote ndani ya dakika moja.
Hata kama nilishaandaa nguo ya kuvaa nikaiweka pembeni asubuhi lazima mabadiliko yafanyike.
Swala la nguo ni changamoto ya wengi, I always prepare nguo usiku lakini asubuhi naanza kuona Mara blouse kubwa, nazama kutafuta ingine.

Au nmevaa skirt, naona baridi naanza kutafuta siruali

Au nimenyoosha vibaya nimevaa naona mkunjo nabadilisha tena

Au navaa vizur natoka nje, kale ka mwanga naona nguo imepauka narudi kasi plus nakuwa out of time

NB, lazima nivuruge tuu. Nikivumilia Sana siku moja.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ni shiiiida!
 
Tuambie tabia za wanaounuka papuchi wanakuaje maana wanaume tunataabika sana
 
Kuna wanawake wanachanganya mafuta harufu flani, perfume harufu flani, mafuta ya nywele harufu yake ukijumlisha harufu zote tatu unapata harufu ya mavi.
Mana kuna binti nimekutana juzi kati tukapishana nikasiki harufu ya mavi , Nikajiuliza amejamba au. Lakini kumbe ni vipodozi anavyotumia.
 
doh! itabidi nijitazame upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…