Chereko tena
JF-Expert Member
- Dec 9, 2019
- 467
- 520
Wanabodi habarini, ninahtaji msaada wa ushauri kwa experienced people whether wamefanya au ona kwa macho au wenye kuwa na uzoefu
Kumekuwa na mazoea ambayo baadhi yetu yanasokota mioyo yetu hasa pale unamtumia mpenzi wako vocha pengine ya1000/5000-unamtumia kwa lengo la upendo, ukitaraji pengine atakufariji kwa kuonesha kukujali akupigie ufarijike-matokeo yake ataweka atakupigia sekunde 30 tu zinapita siku mbili kimya hadi umpigie
Dada zangu mapenzi ni hisia kila mtu huhitaji kufarijika toka kwa mwenza wake ndo maana wahenga walisema mapenzi hayana tajiri/masikini yanatesa
Hoja kuu wadada huwa mnatumiaje vocha bila kumkumbuka mahabuba wako? Hamjui huwa tunaumia?
Naombeni ushauri na mitazamo yenu wadada