Chereko tena
JF-Expert Member
- Dec 9, 2019
- 467
- 520
π€£Mkuu ukiona hivyo jiongeze acha ujinga wa kiume wewe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dah ila hawa mabinti waajabu sana. Kuna mmoja last year mwishoni nilimwona siku moja tukabadilishana namba.
Kumcheki baadae yake hapokei simu, tuma ujumbe anajibu shortcut zile P, K. Nimekaa siku kadhaa napiga hapokei, tuma text baadae hajibu baadae tena nikauliza mbona hujibu text akasema sina salio. Nikamtumia vocha. Baada ya hapo nikamtext hajajibu nikafuta namba.
Baada ya kama mwezi hivi naona namba mpya kumbe ni yeye ananililia shida anataka nimkopeshe hela.
Nikamjibu "comer mierda puta" sijui kama alinielewa.
Hamjui huwa tunaumia?
Kuna watu wana bahati! Had vocha wanatumiwa! Hahaha!!!Wanabodi habarini, ninahtaji msaada wa ushauri kwa experienced people whether wamefanya au ona kwa macho au wenye kuwa na uzoefu
Kumekuwa na mazoea ambayo baadhi yetu yanasokota mioyo yetu hasa pale unamtumia mpenzi wako vocha pengine ya1000/5000-unamtumia kwa lengo la upendo, ukitaraji pengine atakufariji kwa kuonesha kukujali akupigie ufarijike-matokeo yake ataweka atakupigia sekunde 30 tu zinapita siku mbili kimya hadi umpigie
Dada zangu mapenzi ni hisia kila mtu huhitaji kufarijika toka kwa mwenza wake ndo maana wahenga walisema mapenzi hayana tajiri/masikini yanatesa
Hoja kuu wadada huwa mnatumiaje vocha bila kumkumbuka mahabuba wako? Hamjui huwa tunaumia?
Naombeni ushauri na mitazamo yenu wadada
Nipm namba yako nijaribu kukutumia mkuu huenda muamala ukafanikiwa[emoji38]Hata sikumbuki mara ya mwisho kutumiwa vocha ni lini, hivi hayo bado yapo??
Trako Huna na sura mbovu utatumiwajje vocha?
Wewe umejarbu hongera kantweWanaume kila kitu mnalamika, tukiwatafuta mnadai tunawasumbua tukikausha mtupigie pale mtakapokuwa na nafasi mnalia daah. Btw naamini wanawake wengi tunapenda kuongea sana na wapenzi wetu. Ukiona mtu hakutafuti jua kuwa response yako anapokupigia sio nzuri mf. Kila akipiga hupokei au unapokea unamuambia nitakupigia baadae...namna hiyo hata wewe hutoendelea kupiga na utamsubiri mhusika akupigie.
Au inawezekana huyo mpenzi wako vocha unazomtumia anazitumia kuongea na mpenzi wake [emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππππNipm namba yako nijaribu kukutumia mkuu huenda muamala ukafanikiwa[emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app