Wanawake, unatumiaje vocha hadi inaisha bila kumkumbuka aliyekutumia?

Hata sikumbuki mara ya mwisho kutumiwa vocha ni lini, hivi hayo bado yapo??
Jamaa licha ya kunyenyekea Hadi kufunga viatu kwenye swala pa vocha umeshindwa kumdhibiti-kweli kila kiumbe mapungufu yake🤣😂
 
Ukiona hivyo jua kuna anaepigiwa kumjulia hali etc.embu mpuuzie hata kwa week tu Ukio kimya " wewe ni spare tire"
Mkuu kwa mguu wako ulivo mnene,unang'aa ungekuwa mchezaji wa taifa stars namba tano ingekufaa
 
Jamaa licha ya kunyenyekea Hadi kufunga viatu kwenye swala pa vocha umeshindwa kumdhibiti-kweli kila kiumbe mapungufu yake[emoji1787][emoji23]
Hahahahaah
Kwa kweli swala la vocha ni jukumu langu peke yangu!! Nikikosa vocha siwezi kuomba kabisaa jamani, huwa navumilia tuu
 
Doh 😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…