Hahaha... yutong 20 na ziwa lisimame , mkuu una maskhara wewe.
Shida sio kuolewa , shida ndoa kudumu , mwanamke ukishatembea na wanaume zaidi ya kumi hauhitaji sababu kubwa ya kumcheat mume wako ... just simple reason upo guest.
Sent using
Jamii Forums mobile app