Wanawake uzinzi una gharama kwenu kuliko wanaume

Wanawake uzinzi una gharama kwenu kuliko wanaume

Ni kweli kabisa hata mapaja yanalegea kama mlenda.
Kweli uzinzi ni kitu Cha mikosi sio nzuri. Ila wanaume nao pp zao Nazo zitakuwa zimelegea na mkuyenge kama bamia zimelegea sana huwezi hata iumia nyie ndio hamtulii mnawala nawadada wenye wengi wenye matako makubwa na weupe so mkipata vya kupata mnakuja fungua uzi
😂😂😂 daah
 
Kwanza niseme uzinzi si kitu kizuri kwa jinsia zote ila mwana mke ana athirika kwa kiasi kikubwa kutokana na maumbile yake.

(1)Kwanza nianze kwa kusema kuwa wanawake wazinzi ni mabingwa wa kutoa mimba yaani ni wauwaji na magaidi ,kama ww umetoa mimba huna tofauti na boko haram.

(2) Wakati ww unahangaika na ugumba ulio sababishwa ya utoaji mimba wa kiholele na umezaji wa vindonge vya kuzuia mimba ,wanaume ulio kuwa unafanya nao uzinzi watakuwa nyumbani na wake zao walio kuwa wanajua thamani ya miili yao na watakuwa na watoto wa kutosha.

(3)Na bado ukiamua kutotoa mimba ukisha zaa jina la usisingle mama ndo hilo lakini kwa upande wa mwanaume uliye fanya uzinzi na naye, yeye atakuwa ni dume la mbegu.

(4) Utasema uepuke mimba utumie kondomu lakini bado hauta kwepa matokea ya uzinzi ,maana mwana mke anaye liwa hovyo mbususu yake huwa inapanuka kama ziwa viktoria na matiti yake huwa yanadondoka na kama ndara za gesti.

(5) Mwanamke ukisha gundulika kuwa wewe ni mzinzi utabaki kuwa kipozeo cha nyenge za mabaharia tu wakitaka kuoa wanaenda kutafuta wanawake Wanao jua thamani ya miili yao.

Kiufupi gharama ya matokeo ya dhambi ya uzinzi ni kubwa kwa mwanamke nimeelezea kiufupi tu.

Na hayo niliyo yataja ni matokeo tu bado hujalipia dhambi yenyewe siku ukikutana na muumba wako.
Daah ngoja niishie hapa watu wasinipasukie maana nawaongea watu humu.
Kuna mzee mmja alikua anapenda totoz sana sa hv kila siku hospital mara sijui korodani zimekuaje mara vile
 
Mzinzi KWA wanaomjua wasio mjua sio mzinzi.

KILA mtu kaoa kaolewa na ex mzinzi unaijuaje background ya uliyenae wakati mmekutana ukubwani. Tena wazinzi ndio wanaolewa haraka kuliko wasio KWA sababu wazinzi Wana chance ya kukutana na watu wengi sana hivyo chance ya wao kuolewa ni kubwa.

Ishu ya chuchu kulala kwa sababu ya uzinzi inategemea na maumbile, kuna mabinti wamebeba kijiji kizima au youtong 20 yaani abiria zaidi ya elf 1 still chuchu msumari.

Uzinzi si mzuri uleta ugonjwa wa kiroho na kimwili
Umeelweka mzinzi mzoefu
 
Muda huo wewe utakesha kutafuta viagra na vumbi uku ukijaboost na mchuzi wa pweza na bado kimoja mpk week ikatike ndio urudi mchezoni!!! Bado tezi dume linakusubiri kufanyiwa operation
 
Muda huo wewe utakesha kutafuta viagra na vumbi uku ukijaboost na mchuzi wa pweza na bado kimoja mpk week ikatike ndio urudi mchezoni!!! Bado tezi dume linakusubiri kufanyiwa operation
Tezi dume haihusiani na uzinzi, actually sio kwamba napromote hichi kitu ila njia ya kuprevent tezi dume kwa mwanaume nikuhakikisha anatoa semen kwawingi, hii inapunguza risk ya tezi dume kwasana afikapo uzeeni
 
Namba 4 nakupinga,
Inategemea na mwanamke mwnyw alivyoumbwa,

Kuna hiki chuma Hapa chini
Kiko pale Mikocheni,mashine classic,chuchu msumari, na kugongwa ndio kazi yake inayompa tonge kila siku, nmemjua tangu 2010 na mpk leo Yuko kazini.

Ila mashine yake iko intact
Chuchu bado ziko order, papuchi ukiitizama Inavutia utadhani ndo kazaliwa leo au hafanyagi.

Wkt daily Yuko kazini na usishangae unatoka Kumtumia, Kuna mwenzio nae Katoka kutumia Si MDA mrefu[emoji116][emoji4]

2023-01-23-18-16-14.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote inatugharimu tu
Mwanamke kiasili akizini anatakiwa auwe lakini Mwanaume kama aliyemtia ni Binti basi anatakiwa amuoe tu kama atataka kuoa MKE Mwingine .

Lakini pia kizazi hiki Cha makalio makubwa baada ya kile Cha vipotable kitatuja kupata tabú sana wakati Wa uteeni mana wengi HAWANA Hata watoto na Watoto wao wengi wanazingirwa na Watu waovu wanaowafundisha Ushoga. Mwanamke Malaya hawezi kulea watoto mana muda Mwingi anawaza MICHEPUKO na kutelekeza Watoto kweye TV na Simu na wadada Wa KAZI na mhauz boi.

Uteeni Wanawake Wazinzi wasio na KAZI maalumu watateseka sana mana watakua HAWANA Fedha na watakimbiwa na wanaume WOTE mana kizazi cha wanaume wa Sasa kinataka kulelewa. Wakati huo makalio yatakua hayana mvuto na Manyonyo yatakua yameanguka na sura imechoka Huku KWENYE Pochi iliyokua inajaa Mapesa Kwa pesa za mizinga na kuhongwa Kwa ajili ya kucheza vikoba zikiwa zimeyeyuka.

Kifupi Mwanamke mwanye akili anatakiwa aolewe Hata MKE Wa Pili au Wa Tatu. HUKO mbeleni Kuna tatizo kubwa mana Wanawake Wazuri wanaongezeka Kila kukicha na wale Malaya Wa leo watapoteza mvuto muda mfupi sana ujao.

Tunaelekea kipindi Cha Biblia cha wanaume Saba kumganda Mwanaume mmoja Kwa gharama ZAO. Sasa wanawake wasio na pesa watakosa pesa za kumgharamikia Mwanaume.

Kwa Sasa kipindi hiki Cha mpito wanawake wanabinua makalio wakijisifia kuwa makalio ni mtaji Wa kuwarubuni wanaume. lakini HUKO tunakoenda lazima Neno litimie wanaume wengi watakua dhaifu kimwili ,KIROHO na kiuchumi kutokana na usawa KWENYE Ajira hivyo wanaume hawataweza kuwatosheleza wanawake huvyo wanaume kubaki kuwa bidhaa adimu itakayopatikana Kwa wanawake wenye Fedha. Wakati huo Hawa wabinua makalio Wa leo watakua wamechoka na HAWANA uwezo Wakuwalipa wanaume Ili watambulike na kupata Heshima Yao..

MWANAMKE anayejua thamani ya mwali wake anautunza.
Kitu chochote Cha thamani kinapatikana Kwa nadra na Kwa gharama kubwa . Huwezi kuokota almasi kwanye matope hovyohovyo.wanawake wengi Kwa sasa hawajui thamani ya vifungo vya mili yao. Yote ni Kuelekea kwenye Wakati Wa Wanawake kupata kiuisiyoisha ya ngono na wanaume Wa kuwapooza Kiu Yao watakua hawapo Hata Wa kulipwa.

Wazungu walipuuza desturi za wanawake kujiheshimu na kujitunza leo HAKUNA Tena kizazi cha binadamu Wa Kawaida Ulaya . Watu wanatengengezwa kama kuku Wa broiler. MTU Wa kutengenezewa hawezi kuendeleza kizazi kama kuku Wa kisasa.
 
Malaya hata zikisimama, akawa na shape na ikabana lazima kuna kitu kitakosekana na atakosa ladha, Ukishamaliza unataka aondoke, humtaki hapo. Hujakutana na wanawake binti mrembo ila kila mtu akigusa mara mbili tatu anamsukumia mwingine. Anakuwa kama zombie sijui ni anapoa au ni nn kinatokea.

Malaya akiolewa mara nyingi anaachika. Kuna kitu nadhani huondoka kwa mwanamke anayeingiliwa na wanaume wengi.
Anakosa Nuru Fulani.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom