mark girland
JF-Expert Member
- Feb 7, 2019
- 1,026
- 756
We fala umeongea pwenti kinoma ndiyo maana nakukubaligi sana jambazi langu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeua we JANGIRIJohn: Leo wapi tukafanye ujambazi?
Ali: Kwa mamayako pale pa jana mwanangu.
John: Yule mama hana swagga kaka Bora mamayako wa Sinza mori tukamfanyie leo.
Ali: Mwanangu huna mshiko nini leo bora tukale pale pa jana si umemuona yule mtoto wa mama analika kama pilau yake.
John: Kwahio leo utalipia jambazi sugu mwenzio nipo mtupu wewe beba machera tu leo.
Ali: Usijali punda wangu leo nabeba mzigo wako ikifika mida tutakwenda kumla yule mama na mwanawe.
John: Hio fresh msenge wangu
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Hamna noma KICHAA wanguWe fala umeongea pwenti kinoma ndiyo maana nakukubaligi sana jambazi langu.
Unafiki upo damuni mwetu ndo maana napendelea kuwa na marafiki wa kiume kuliko wa kike,,
Naomba Niwe Rafiki Yako
Toothpick[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usije kunifanya muwa tu