Wanawake Vs Wanaume...

Hao wanaume unaodai hawawezi kupenda kabla hawajatamani ni wale wasiojijua na wala hawajui kupenda maana yake nini,mimi simo kwenye hilo kundi la wajinga!

kama hakuna kutamani, sasa mtu unapovutiwa na lady ni kitu gani basi kinachokufanya utake kuwa naye. Binafsi naona yote ni sawa
 
Ndyoko,sijui kuvutwa unakokuzungumzia wewe ni kupi,kuna kuvutwa na mwili wa mwanamke na kuna kuvutwa na nguvu za asili kunakosababishwa na nyie wawili kuwa kwenye masafa aina moja ya kufikiri na kutenda.Kuna mambo mengi kwenye suala hili ndo maana mnayachanganya,na elim yake ni pana sana,kutamani na kupenda hakuna mahusiano kabisa!
 

upo juu,..big up
 
N.o money,no honey
f.edha makaratasi hasara roho
t.umia pesa ikuzoee
p.esa sabuni ya roho
h.akuna mwanamke mzuri bali mwanamke mrembo,mzuri pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…