Strong ladg
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 1,357
- 3,114
Nimekaa nikajaribu kuwazua, huko Afghanistan ambapo wanawake hawaruhusiwi kutoka nje,kwenda shule, kufanya kazi etc,
Je wanawake wakiumwa wanatibiwa na madaktari au manesi wa jinsia gani? Au Taliban wanaruhusu wanawake watibiwe na wanaume?.
Vipi wamama wajawazito,wakienda kujifungua wanahudumiwa na wakunga wa jinsia gani?.