Wanawake Wa Aina Hii Wapo 10 Tu, Dar Nzima..!!

Wanawake Wa Aina Hii Wapo 10 Tu, Dar Nzima..!!

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Nimegundua kuna Wanaume wa aina nyingi sana
duniani...Ila kuna hawa wengine ambao
wanashangaza sana...Mwanaume mzima na ndevu
zako kama wajukuu wa siafu unakaa kijiweni
unalalamika, ''Demu wangu ananichosha aisee, Shes
too much, kila Muda mme wangu umekula... Mme wangu vipi kazi, mara anataka aje home
kunipikia, yaani sihemi na nisipopokea simu anachukia
Ntammwaga muda si mrefu aisee ananikata tu Stimu''
Watu tunatafuta kishenzi mademu wa kutupenda
namna hii na hatupati... Mjini kumejaa wezi tu,
mademu wote almost wana mahaba NEW MODEL, Original wote washafariki,halafu wewe unapendwa unatafutwa na
kuonyeshwa mahaba unasema She is too much?? Sasa
Jishaue ummwage uone tunavyomkimbilia, kama
wewe amekushinda tupo tunaotaka
usumbufu. Kupendwa raha bwana,yaani Dar es salam
upate Demu ambaye ukimwambia BABY NIMEJIKWAA KUCHA IMETOKA, ana muomba Boss
wake OFF ofisini ili aje kukuletea machungwa na
kukupaka Jivii kidonda huku anakubusu kwa mahaba
hadi maumivu yanapotelea utosini..Wako 10 tu Dar
Nzima halafu unalalamika..Ku dadeki wallahi... wenzio
tunalia, demu akishasema tu Baby Goodmorning, naenda job now ndo imetoka, haulizi umekula wala
umenyoa anasaka madanga ya kumlipia
kodi...Wanaume Wenzangu....Ukipata bahati ya
kupendwa kwa dhati mji wa dar shukuru na mruhusu
akusumbue tu kuliko upate Demu ana Moyo una
Double Line kama Simu ya Kichina,anaaga analala sa4 anaumwa kichwa kumbe ndo anavaa kwenda kwa
buzi Mikocheni kupigwa oil, utabakia unatoa macho
kama Umeombwa namba ya Simu ya Changudoa!
 
1472319300930.jpg
 
Hawa mademu una uhakika wapo kweli dar hii??Au sijaelewa huu uzi??
 
Huko Dar lazima siku moja nikutembelee. Hapa Nairobi habari si tofauti vile ila yenu ni extreme
 
Back
Top Bottom