Kataa mahusiano takatakaUkweli ni mchungu lakini ni muhimu kusemwa.
Wanaume wengi tunapoteza muda, pesa, amani na hata ndoto zenu kwa sababu ya kupenda chini & kuchagua mtu asiye sahihi. Kuna wanawake ambao ukijichanyanya nao, badala ya kusonga mbele, maisha yako yanakuwa kama gari lililokwama kwenye tope—hatua moja mbele, afu unarudi mbili nyuma.
Mwanaume mwenye malengo unatakiwa kuwaepuka hawa:
1. Mwanamke Mzuri Bila Akili
2. Mwanamke Anayependa Maisha Laini (Soft life)
3. Mwanamke Asiyekubali Uwe Mbali Nae
4. Mwanamke Anayetawala Wanaume
5. Mwanamke Anayelenga Kipato Chako
6. Mwanamke Aliyekufa Kiroho
7. Mwanamke Anayejivunia Muonekano Wake(Nyashi)
8. Mwanamke Mwenye Sumu ya haki sawa
Kaka, usibebe mzigo ambao maisha yako hayawezi kuubeba.
Limekukuta niniUkweli ni mchungu lakini ni muhimu kusemwa.

Hapo sawa kwahiyi wewe huna mke wala mpenziKataa mahusiano takataka
Na mwisho wa siku tutbaki wenyeweMbona umetaja Wanawake wote? Au unataka tuoe Malaika watakatifu
Kusoma hujui? Umeambiwa mahusiano takataka. Toxic relationship in EnglishHapo sawa kwahiyi wewe huna mke wala mpenzi
Bahati yako ni wewe 😲😲🤣Mimi ni mzuri na akili sina ila mume wangu ana magari sita na mansion mbili
Naomba unitafutie eehTafuta mwenye unafuu oa
Ni mimi 🤣Bahati yako ni wewe 😲😲🤣
Ayaaa mama nikopeee gari moja hapo kwa shemu nakuja na pesa sasa ivi tukutane hapo sinzaNi mimi 🤣
Sina akiliAyaaa mama nikopeee gari moja hapo kwa shemu nakuja na pesa sasa ivi tukutane hapo sinza
Nakuunga mkono mdogo wangu umesema kweli sisi kaka zako tunajionea sasa kwa vitendo.Ukweli ni mchungu lakini ni muhimu kusemwa.