Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Mkuu huu si wakati wa misifa ujasoma tu alama za nyakati wakiniona tu baba mwenye nyumba huyooo kafata kodi wee Mkuu operatorl wa shell akikuona tu baba mwenye subaru Huyoo ndio maisha lakiniMaisha bhana.
Dsm ni ya wanaume wapenda vitorori kama vits passo starlet raumu funcago spacio ist na takataka kama hizo zenye engine capacity kama pikipiki za boxer au sanLg.
Mkoani Arusha na kaskazin kwa ujumla wanawake wanapenda sana Subaru gari za maana na zilizotulia tuli.Gari ngumu na ukiituma popote inaenda na kurudi.
1. Subaru Legacy
2. Subaru Imprezza
3. Subaru Forester
etc. Na ni tamu zaidi ikiwa na turbo. Inapanda mlima ikiwa kwenye 140km/hr kiroho safi.
Unawalinganisha wanaume wa dar na wanawake wa kaskazini?Maisha bhana.
Dsm ni ya wanaume wapenda vitorori kama vits passo starlet raumu funcago spacio ist na takataka kama hizo zenye engine capacity kama pikipiki za boxer au sanLg.
Mkoani Arusha na kaskazin kwa ujumla wanawake wanapenda sana Subaru gari za maana na zilizotulia tuli.Gari ngumu na ukiituma popote inaenda na kurudi.
1. Subaru Legacy
2. Subaru Imprezza
3. Subaru Forester
etc. Na ni tamu zaidi ikiwa na turbo. Inapanda mlima ikiwa kwenye 140km/hr kiroho safi.
Kwann Mkuu..?????Nyuzi nyingine bhna, ndio nini sasa??
Ongezea na haya...Maisha bhana.