Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Maisha bhana.
Dsm ni ya wanaume wapenda vitorori kama vits passo starlet raumu funcago spacio ist na takataka kama hizo zenye engine capacity kama pikipiki za boxer au sanLg.
Mkoani Arusha na kaskazin kwa ujumla wanawake wanapenda sana Subaru gari za maana na zilizotulia tuli.Gari ngumu na ukiituma popote inaenda na kurudi.
1. Subaru Legacy
2. Subaru Imprezza
3. Subaru Forester
etc. Na ni tamu zaidi ikiwa na turbo. Inapanda mlima ikiwa kwenye 140km/hr kiroho safi.