Wanawake wa Arusha ni kisanga

Wanawake wa Arusha ni kisanga

The patriot man

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
1,071
Reaction score
1,361
Hope mko poa,

Mimi Arusha ndio home, naishi Lemara ila kwa sasa nipo Dar es salaam.

Hii sikuku ikabidi niende tuu home Jumamosi, nilikuwa pande za Njiro bar moja inaitwa blacklist tulikuwa na washakaji na makachori (wanawake) wakali laana, wako wa 4 masela tupo 3. Tukatafuta chimbo aisee ikaagizwa K Vant pisi zikasema aletewe Valuu. Hee ni kisanga, ikaletwa K Vant kubwa na Valuu 2, aisee zile pisi zilipiga three time Valuu ikakata tukaanza kunywa ile Vant, ikaletwa ya pili tena kubwa tukanywa.

Baada ya hapo tukaagiza msosi wa maana, baada ya kula sasa tukaanza kunywa bia za safari na Serengeti Lager daaah, wanawake wa Arusha sio, wanadabua bia sio mchezo.

Nilikuwa na 120k nikazinduka jana na 7k tuu saa 6 mchana na pisi iko pembeni anakula fegi na bangi daah, halafu nilikuwa uchii na yeye hivyo hivyo sema sikubonga wala nini, ndio hivo baadae ikasepa zake.

Pisi za Arusha ni shida.
 
Hope mko poa
Mimi Arusha ndo home naishi Lemara ila kwa sasa nipo daslamu

Hii sikuku ikabidi niende tuu home jumamosi nilikua pande za Njiro bar moja inaitwa blacklist tulikua na washakaji na makachori (mademu) wakali laana wako wa 4 masela tupo 3

tukatafuta chimbo aisee ikaagizwa K vant pisi 2 zikasema aletewe valuu hee ni kisanga baba ake ikaletwa k vant kubwa na valuu 2

aisee zile pisi zilipiga three time valuu ikakata tukaanza kunywa ile vant ikaletwa ya pili tena kubwa tukanywa

baada ya hapo tukaagiza msosi wa maana
baada ya kula sasa tukaanza kunywa bia za safari na serengeti lager daaah mademu wa Arusha sio wanadabua bia sio mchezo

nilikua na 120k nikazinduka jana na 7k tuu saa 6 mchna na pisi iko pembeni anakula fegi na bangi daah alafu nilikua uchii na. yeye hvo hvo sema sikubonga wala nini ndo hvo badae ikasepa zake

pisi za Arusha ni shida.
 
"Mlikuwa uchi" usalama kwenu wote wawili ulikuwepo au kuna kitu mlifanyiwa?
Maana najua pombe zilikuzidi na ukajikuta upo uchi.
Tueleze vizuri maana siku hizi Arusha mabasha nao wapo active sana.
Any way wanawake wa Arusha wengi wao wanajua kunywa pombe kwa hiyo pesa yako ilikuwa ndogo sana kwenye starehe hiyo shukuru ulienda bar ya kawaida ungeenda bar za ushuani hiyo pesa yako unanunua chupa moja ya mvinyo.
 
Kukaa karibu na hilo bwawa na kula mboga mboga zinazonyeshewa na yale maji la lile bwawa kumekuharibu.
 
"Mlikuwa uchi" usalama kwenu wote wawili ulikuwepo au kuna kitu mlifanyiwa?
Maana najua pombe zilikuzidi na ukajikuta upo uchi.
Tueleze vizuri maana siku hizi Arusha mabasha nao wapo active sana.
Any way wanawake wa Arusha wengi wao wanajua kunywa pombe kwa hiyo pesa yako ilikuwa ndogo sana kwenye starehe hiyo shukuru ulienda bar ya kawaida ungeenda bar za ushuani hiyo pesa yako unanunua chupa moja ya mvinyo.

tulikulana
 
Wahuni hao kama wahuni wengine.
Kwahiyo mkuu unataka kutuambia kwamba kuna uwezekano uliliwa kimasihara?
 
Back
Top Bottom