The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,071
- 1,361
Hope mko poa,
Mimi Arusha ndio home, naishi Lemara ila kwa sasa nipo Dar es salaam.
Hii sikuku ikabidi niende tuu home Jumamosi, nilikuwa pande za Njiro bar moja inaitwa blacklist tulikuwa na washakaji na makachori (wanawake) wakali laana, wako wa 4 masela tupo 3. Tukatafuta chimbo aisee ikaagizwa K Vant pisi zikasema aletewe Valuu. Hee ni kisanga, ikaletwa K Vant kubwa na Valuu 2, aisee zile pisi zilipiga three time Valuu ikakata tukaanza kunywa ile Vant, ikaletwa ya pili tena kubwa tukanywa.
Baada ya hapo tukaagiza msosi wa maana, baada ya kula sasa tukaanza kunywa bia za safari na Serengeti Lager daaah, wanawake wa Arusha sio, wanadabua bia sio mchezo.
Nilikuwa na 120k nikazinduka jana na 7k tuu saa 6 mchana na pisi iko pembeni anakula fegi na bangi daah, halafu nilikuwa uchii na yeye hivyo hivyo sema sikubonga wala nini, ndio hivo baadae ikasepa zake.
Pisi za Arusha ni shida.