Wanawake wa Bongo acheni kushobokea Waarabu

Mikuyati mweupe inamvuto buana,
halafu watu tunatafuta upekee yaani ukoo mzima vipilipili unaonaje wewe ukileta mtoto mwenye nywele za kisinga
Ye mwenyewe mleta mada akipata warembo wawili wa kiarabu na mswahili, atampa kipaumbele mwarabu...halafu hapa awalalamikia wadada wa kiswahili kwa kuwapa promo wanaume wa kiarabu.
 
Hata dada zao wa kiarabu wanatupenda watu weusi. Kilwa94 nishachakata waarabu wawili mbaka saivi.Huyu mmoja kaniomba nifunge naye ndoa(Kaja toka Oman hivi karibuni) ila mimi nafsi yangu haitaki kabisa..wake wa kiarabu hawana joto kama la wake wa kihaya.[emoji1321]
 
Wana sura nzuri, mionekano ya kitajiri hata akija na ist binti haruki.

Sisi wenye sura za kuaga miili hata tukiendesha cruiser Bado Kuna kaugumu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mikuyati mweupe inamvuto buana,
halafu watu tunatafuta upekee yaani ukoo mzima vipilipili unaonaje wewe ukileta mtoto mwenye nywele za kisinga
Dah!..πŸ™„πŸ™„πŸ™„...
 
Baba hela hela.. hujui hata top tena ya matajiri wengi hapa kwetu ni waarabh boss πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wana sura nzuri, mionekano ya kitajiri hata akija na ist binti haruki.

Sisi wenye sura za kuaga miili hata tukiendesha cruiser Bado Kuna kaugumu.
"sura za kuaga miili" [emoji23][emoji23][emoji23]lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…