Wanawake wa Dar hawapishi, ukisubiri akupishe anakupiga kikumbo!

Wanawake wa Dar hawapishi, ukisubiri akupishe anakupiga kikumbo!

common mtoa mada be a gentleman,inatakiwa wewe ndiye uwe unawapisha mama zetu hawa!!
Kauli ya kijinga kabisa hiii sio kila kitu afanye wanaumw!!! Wazee wetu hawakuruhusu baadhi ya mambo
 
Wanawake wa Dar ndiyo walivyo, hata mnavyofyatuana na wao wanataka waje juu inakuwa kama na yeye anakutia, mimi huwa nawakatalia nawambia tulia chini na usikatike tulia mimi ndiyo nakutia sio wewe unanitia mimi
Kwa hiyo wewe ndio unakatika aibu nimeona mimi.
 
Hiyo 'saiti' unajuaje ni yako ikiwa mpo barabarani mnatembea?
 
Nina miaka 27 toka nihamie Dar kutoka mkoani. Wanawake wa mikoani hususani kanda ya ziwa wana adabu sana. Ukikutana naye njiani lazima akupishe. Tofauti na wanawake wa Dar hawakupishi. Ukitembea njiani kwa matumaini kwamha huyo mwanamke wa Dar unayekutana naye na yuko kwente saiti yako akupishe basi tegemea kupigwa kikumbo. Hakupishi! Na akikupiga kikumbo hajali......! Yeye anarndelea na safari zake tu.

Sasa tabu yake ni kwamba akiwa kwenye saiti yake anataka umpishe na akiwa kwenye saiti yako anataka umpishe wewe.
Yaani wajeuri na wanadharau sana.

Fanya utafiti kuanzia leo utakubali ninayokwambia. Kwa kumalizia wanawake wa Dar hata salamu ni mpaka umuanze wewe mwanaume. Ukisubiri akuanze kukusalimia atakupita kama hakujui.
.

Sent using Jamii Forums mobile app
Akinipiga kikumbo mmojawapo po atajikuta yupo chini
 
Mbona husemi ninyi tunavyogombania siti kwenye daladala, mwanaume wa dar hakubali eti aachie siti dada/ mama yake akae ila wa mkoani hawanaga ajizi anaweza kukuachia siti ye asimame toka Iringa hadi makambako [emoji12][emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo utasubiri sana, sikujui hunijui nauli nalipa mwenyewe na umeona gari limejaa umeamua kupanda, utapambana na hali yako labda awe bibi kizee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom