Wanawake wa Dar hawapishi, ukisubiri akupishe anakupiga kikumbo!

common mtoa mada be a gentleman,inatakiwa wewe ndiye uwe unawapisha mama zetu hawa!!
Kauli ya kijinga kabisa hiii sio kila kitu afanye wanaumw!!! Wazee wetu hawakuruhusu baadhi ya mambo
 
Wanawake wa Dar ndiyo walivyo, hata mnavyofyatuana na wao wanataka waje juu inakuwa kama na yeye anakutia, mimi huwa nawakatalia nawambia tulia chini na usikatike tulia mimi ndiyo nakutia sio wewe unanitia mimi
Kwa hiyo wewe ndio unakatika aibu nimeona mimi.
 
Hiyo 'saiti' unajuaje ni yako ikiwa mpo barabarani mnatembea?
 
Tatizo umelegea kijana kila anayekutana na kikumbo changu huwa anaacha tabia ya kupiga vikumbo watu

kikumbo kama nipo uwanjani nadinda
Baby!!!
 
Akinipiga kikumbo mmojawapo po atajikuta yupo chini
 
Hiyo utasubiri sana, sikujui hunijui nauli nalipa mwenyewe na umeona gari limejaa umeamua kupanda, utapambana na hali yako labda awe bibi kizee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…