Wanawake wa Dar hawapishi, ukisubiri akupishe anakupiga kikumbo!

Hicho kitu ndicho nilikuwa nakikataa na nitaendelea kukikataa, mwanamke hata kama ana mimba Siwezi kumpisha akae Mimba apewe na mwingine nipate shida mimi huo utumbo siufanyi.
.
Napisha wagonjwa tu bila kujali jinsia zao, mimba na uzee ni ndoto.
Pisha wa mwenzako ipo siku na wenzako watapisha wakwako, ni sawa ukutane na mtu mwenye umri wa mamako anahitaji msaada unasema haumsaidii hajakuzaa! Tukiishi hivyo hatufiki, saidi wangu kesho mi ntasaidia wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] atasimama na kama una bata wako na kuku atakubebea akiwa amesimama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo msongamano baby, nifanye wa pekee uone vile nitakukera kwa kukutafuta.
mi nilikuahidi utakuwa wa pekee kama moyo
we niambie unataka nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…