Wanawake wa Dar mmerogwa na nani?

Wanawake wa Dar mmerogwa na nani?

MUSHEKY

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
2,812
Reaction score
2,760
1.Mnakatiwa katiwa mboga za majani magengeni kwani kazi hii hamiwez wenyewe kama wenzenu wa mikoani?

2. hali katika mabucha pia si shwari mkienda kule mtaomba mkatiwekatiwe nyama hata kwa kutozwa pesa ya ziada

3. maeneo ya soko la double kibin tandika kuna msururu wa wanawake wakingoja huduma ya kukuniwa nazi mmerogwa? kazi hii hamuiwezi?

4. kusugua magaga na kucha zenu nayo imekua mtihani kwenu mpaka apite kijana msafisha kucga awashkeshke kucha na visgino vyenu ambavyo kiintelijensia ni sehemu za siri

5.Sawa yote hayo fanyeni ila ni kwa nini sasa mnavaa kucha bandia, kope bandia, shepu bandia, rangi bandia, nywele bandia naskia pia mnatega b**kra bandia........Mtatuwuwa sisi jameni
 
Ukimaliza hapo waseme na wanawake wa New york..Maana tabia nyingi hapo wanazo
 
Nasubiri wa kwangu nione mchango wake, na ole wake ajichanganye talaka ni hadharani hapa jukwaani.
 
nyama umewaonea, hiyo huduma inatolewa bure na mabucha mengi mkuu.
Pengine unatumika mashine siko kisu, hivyo dakika 0. tayari wewe unamalizia kuchemsha na kula wali ng'ombe.
 
Binafsi nikiona mke wangu anasafishwa kucha na kupakwa sangi yaani kuna kitu huwa kinanikereketa sana huwa napata maudhi yasiyo ya kawaida.ni kweli wanawake mmeshindwa hata kukata kucha zenu mungu anawaona lakini.
 
Halafu utawasikia eti wanawasuta wanaume zao 'Wanaume wa Dar' bure kabisaa kazi kutunisha vitako tu
 
Back
Top Bottom