Wanawake wa Dar mmerogwa na nani?

Wanawake wa Dar mmerogwa na nani?

Namba 2 siwezi acha. Bure kabisa bila kutoa senti
 
Binafsi nikiona mke wangu anasafishwa kucha na kupakwa sangi yaani kuna kitu huwa kinanikereketa sana huwa napata maudhi yasiyo ya kawaida.ni kweli wanawake mmeshindwa hata kukata kucha zenu mungu anawaona lakini.
Sasa si umsafishe wewe mmewe
 
Kwa sababu hakuna aliyeolewa akiwa na bikira na ambao hawajaolewa hawana bikira 😀😂. Wanawake wa mpigi, geza ulole na chanika msibadilike mkawa kama wanawake wa mbande
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwenda kukuruka na mbuzi wakati Azam katukunia shida iko wapi watoe pesa
Tumerogwa na pesa za wanaume wa mikoani
 
Back
Top Bottom