Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Oh yeess😉mmmmmmmh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oh yeess😉mmmmmmmh!
Watasikia bwana wewee..Ama kweli nyinyi ni kiboko yaani wasema nazi wakunia juu kwa juu sio. Ok wasalimie hapo ngongo.
Utaweza ww mvenezuela???
ntakuja kula chabo kwa chini ya mnaziSisi huku ng'apa tunakwea wenyewe kwenye minazi...halafu tunakunia huko huko juu..
Sisi huku ng'apa tunakwea wenyewe kwenye minazi...halafu tunakunia huko huko juu..
Hahahhaha
Naomba kuja uko na mm nikwee tukune wote
Unataka utenguke kiuno eeh
Nitenguke kiuno nishindwe kuwajibika ktandani nitafutiwe mchepuko hapana kwakweli acha tu nikuniwe nazi magengeni kwa sh 200
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha mtasaidiwa na vingine sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanatusaidia sana basi tu
Haaaa haaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe umetishaSisi huku ng'apa tunakwea wenyewe kwenye minazi...halafu tunakunia huko huko juu..
Sasa si umsafishe wewe mmeweBinafsi nikiona mke wangu anasafishwa kucha na kupakwa sangi yaani kuna kitu huwa kinanikereketa sana huwa napata maudhi yasiyo ya kawaida.ni kweli wanawake mmeshindwa hata kukata kucha zenu mungu anawaona lakini.
Vingine vinini hivyo tena jamaniHahaha mtasaidiwa na vingine sasa
Kazi ya technology ni nini wasiwaonee wivu wanawakeNitenguke kiuno nishindwe kuwajibika ktandani nitafutiwe mchepuko hapana kwakweli acha tu nikuniwe nazi magengeni kwa sh 200
Tumerogwa na pesa za wanaume wa mikoani
Wooiii tuna hatari sie watoto wa pwani😂Haaaa haaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe umetisha